Wapi nawezatengenezesha mifuko ya plastic yenye chata ya kampuni yangu!

Wapi nawezatengenezesha mifuko ya plastic yenye chata ya kampuni yangu!

wanan

Senior Member
Joined
May 11, 2011
Posts
141
Reaction score
42
Kutokana na biashara ya ushindan ,biashara ni matangazo nimeona kutumia njia ya mifuko itanisaidia kwa njia moja au nyingine.wanajf mumenisaidia sana naomba msinichoke kunisaidia kwan ajira zimekuwa ngumu sana.Na njia hii naona inanisaidia sana.hivyo wakuu wanaofahamu waniambie wapi naweza kutengenezewa ikiwezekana na gharama zake kabisa.na wapi wanapatina .natanguliza shukurun za dhati
 
waone OMARY PACKING (T) ltd wapo pugu road (sido) ndio wanatengezeza mifuko yote ya azam na bidhaa nyingine
 
Back
Top Bottom