Wapi ndugu zangu waweza uza madini ya Ruby?

MKuu katika hizo aina za Rubby. Ya kwenye miamba kama mpwapwa na ya miamba iliyochini ya maji ipi bora? Na je utajuaje kama mwamba uliochini ya mto huu hapa unarubby? Najua miamba unapima. Hiyo ya chini ya maji ndoo nataka msaada wa kueleweshwa
 
Usipoteze muda, kabla ya kupost mada ni bora ungetanguliza picha then uulize nini? Hizo mkuu zinaitwa Quartz ( white quartz, amethyst quartz,..e.t.c)
Thanks kwa kunipatia jina ya vitu hivi.....
 
habari Mimi ninazo ruby semi gems niunganishe muastralia
 
Talentbrain nilikuthibitishia kuwa hao jamaa ni wasanii tuu. Hayo mawe ni Amethyst halafu ni worst quality (uchafu). Pole kama utakua umewatumiatumia vihela vya vocha maana wadau hao ndio zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…