Wapi Ney wa Mitego?

Wapi Ney wa Mitego?

Fiesta not reachable, duuuuh.....!!

Kumedia kunsi kukupirika, chanii chikukutile njooomba?

#966# kuduuuu ku mchikioooo pa video mkombe..!

Longa nasi msaani wetu Ney wa mitego, nini kimekukuta? Au ulikuwa kanjanjaa bro ukatulisha matango poli..!?

Nimemis ili ngoma, ITAFAHAMIKA TU.. au unasoma game uje kama KING GK?

Maisha mema brooo, mwenzio nimeshakuwa mganga wa kienyeji. Naamka na kaniki, naenda kwenye kijumba cha kazi aka Msonge.. naagiza kuku na mbuzi kwa sana, siagizi tembele wala mchicha.

Msalimie yule Mwanaume wa Dar mwenye Dimpoz na pozi kwa pozi.
We mfipa tuondolee lugha yako ya kurogea ya Sumbawanga
 
wasanii wanaohit kiujanjaujanja mwisho wao huwa mbaya, Ney mda wake wa kupotea umefika
 
Back
Top Bottom