February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Wakuu,
Katochi kangu kameanguka na kupasuka kioo..Najua Kariakoositakipata kwahyo Nina mpango wa kuagiza China, wapi ni salama zaidi na uhakika kupata bidhaa kati ya Aliexpress na Kikuu?
Aliexpress sina experience nao lakini naona ndiyo wanavyo vingi na pia bei zao ni ndogo lakini sijajua issue ya usalama wa mzigo kufika na kama kuna additional costs kwenye kuuchukua mzigo.
Halafu najua Kikuu wana ofisi zao mzigounakuja direct mpaka mikoani, Hawa Aliexpress mzigo unaupokelewa wapi?
Au ndio bandarini?
chekini hizi options
Chief-Mkwawa