adolfu mtanzania
Member
- Jun 9, 2016
- 8
- 2
Msaada wakujaza hyo adressIn case ukisafirishwa kwa njia ya posta, ukifika watakupgia simu na watakwambia kiasi cha kodi ambacho uatabidi ukienda kuuchukua ulipie.
Kama ukiusafirisha kupitia hawa wasafirishaji kama silent ocean, mpemba et el, hakuna additional costs.