February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
nicheki dm kuna link ya telegram nikupe kule huwa wanaagiza sana kupitia AliExpressWakuu,
Katochi kangu kameanguka na kupasuka kioo..Najua Kariakoositakipata kwahyo Nina mpango wa kuagiza China, wapi ni salama zaidi na uhakika kupata bidhaa kati ya Aliexpress na Kikuu?
Aliexpress sina experience nao lakini naona ndiyo wanavyo vingi na pia bei zao ni ndogo lakini sijajua issue ya usalama wa mzigo kufika na kama kuna additional costs kwenye kuuchukua mzigo.
Halafu najua Kikuu wana ofisi zao mzigounakuja direct mpaka mikoani, Hawa Aliexpress mzigo unaupokelewa wapi?
Au ndio bandarini?
chekini hizi options
Chief-Mkwawa
Aliexpress mzigo unaupokelea wapi? Kuna additional costs wakati wa kupokea mzigo?nicheki dm kuna link ya telegram nikupe kule huwa wanaagiza sana kupitia AliExpress
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Hakuna additional costs, unapigiwa simu unaletewa na SpeedafAliexpress mzigo unaupokelea wapi? Kuna additional costs wakati wa kupokea mzigo?
Okay,unaupokelea wapi? wana ofisi zao wapi?Hakuna additional costs
Aliexpress kwasababu ni kwa ajili ya mauzo ya rejareja while alibaba ni kwa wholesaleWakuu,
Katochi kangu kameanguka na kupasuka kioo..Najua Kariakoositakipata kwahyo Nina mpango wa kuagiza China, wapi ni salama zaidi na uhakika kupata bidhaa kati ya Aliexpress na Kikuu?
Aliexpress sina experience nao lakini naona ndiyo wanavyo vingi na pia bei zao ni ndogo lakini sijajua issue ya usalama wa mzigo kufika na kama kuna additional costs kwenye kuuchukua mzigo.
Halafu najua Kikuu wana ofisi zao mzigounakuja direct mpaka mikoani, Hawa Aliexpress mzigo unaupokelewa wapi?
Au ndio bandarini?
chekini hizi options
Chief-Mkwawa
In case ukisafirishwa kwa njia ya posta, ukifika watakupgia simu na watakwambia kiasi cha kodi ambacho uatabidi ukienda kuuchukua ulipie.Aliexpress mzigo unaupokelea wapi? Kuna additional costs wakati wa kupokea mzigo?
Si nimesikia AliExpress wamekata kamba na posta, mizigo mimi niliagiza recently haikuletwa na postaIn case ukisafirishwa kwa njia ya posta, ukifika watakupgia simu na watakwambia kiasi cha kodi ambacho uatabidi ukienda kuuchukua ulipie.
Kama ukiusafirisha kupitia hawa wasafirishaji kama silent ocean, mpemba et el, hakuna additional costs.
Oh sina hakika maana sijaagiza mzigo wowote via aliexpress kwa zaidi ya miezi 5Si nimesikia AliExpress wamekata kamba na posta, mizigo mimi niliagiza recently haikuletwa na posta
Na ikiletwa na hawa silent ocean etc. inamaana shipping costs zinaongezeka juu ya zile bei walizoweka mtandaon?In case ukisafirishwa kwa njia ya posta, ukifika watakupgia simu na watakwambia kiasi cha kodi ambacho uatabidi ukienda kuuchukua ulipie.
Kama ukiusafirisha kupitia hawa wasafirishaji kama silent ocean, mpemba et el, hakuna additional costs.
Yani hapo ni kuzungumza na muuzaji aship mzigo kwenda ofisi za hao wasafirishaji ambazo almost zote ziko guangzhou, then ukifika watausafirisha kuja tz. Gharama lazima ziongezeke ambapo kwa display sidhani kama zitakuwa kubwa maana wanachaj kwa kg. Unawasiliana nao via simu watakupa gharama. Ila si kila muuzaji anakubali maana aliexpress si kwa ajili ya kuship vitu within china na ndio maana wachina wenyewe hawanunua vitu from it online.Na ikiletwa na hawa silent ocean etc. inamaana shipping costs zinaongezeka juu ya zile bei walizoweka mtandaon?
Mkuu naomba uedit vizuri hii comment sijaielewaYani hapo ni kuzungumza na muuzaji aship mzigo kwenye ofisi zao ambazo almostw are ziko guangzhou, then ukifika watausafirisha kuja tz. Gharama lazima ziongezeke ambapo kwa display sidhani kama zitakuwa kubwa maana wanachaj kwa kg. Unawasiliana nao via simh watakupa gharama. Ila si kila muuzaji anakubali maana aliexpress si kwa ajili ya kushio vitu within china na ndio maana wachina wenyewe hawanunua vitu from it online.
Ulishawahi agiza na Alibaba? kama ni ndio vipi kuhusu Tax? ilikuwaje labda tuseme kwa mzigo wa $500Yani hapo ni kuzungumza na muuzaji aship mzigo kwenye ofisi zao ambazo almostw are ziko guangzhou, then ukifika watausafirisha kuja tz. Gharama lazima ziongezeke ambapo kwa display sidhani kama zitakuwa kubwa maana wanachaj kwa kg. Unawasiliana nao via simh watakupa gharama. Ila si kila muuzaji anakubali maana aliexpress si kwa ajili ya kushio vitu within china na ndio maana wachina wenyewe hawanunua vitu from it online.
Mkuu nshawahi ila siwez kukupa gharama za tax maana wasafirishaji huwa natumia mpemba na silent ocean wao wanakupa gharama ya jumla mpaka unachukua mzigo so tax na kila kitu wanakuwa washalipa wao. Na kama ni mzigo mkubwa wao wanakuchaj kwa cbm kama unakuja kwa maji na humo wamejumuisha gharama zoteUlishawahi agiza na Alibaba? kama ni ndio vipi kuhusu Tax? ilikuwaje labda tuseme kwa mzigo wa $500
TayariMkuu naomba uedit vizuri hii comment sijaielewa
Mkuu nshawahi ila siwez kukupa gharama za tax maana wasafirishaji huwa natumia mpemba na silent ocean wao wanakupa gharama ya jumla mpaka unachukua mzigo so tax na kila kitu wanakuwa washalipa wao. Na kama ni mzigo mkubwa wao wanakuchaj kwa cbm kama unakuja kwa maji na humo wamejumuisha gharama zote
Yah but kama wanunua bidhaa nyingi ndio option rahisi kutumia. Ndugu yangu mmoja ananunuaga mitumba mabalo yanafika anauza anapga faida nzuri. Sema anayepeleka mkoa hauzi darObvious kwa kutumia agents gharama zitakuwa zinazid za kuagiza direct
Ahsante Mkuu.