Huna haja ya kujenga nyumba ya maisha yako wakati hujui utaishi miaka mingapi. Unaweza kuanza kujenga tu na ukavuta.Wadau,
Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba.
Ipi ni sehemu sahihi?
Wahindi wanaacha urithi wa pesa ña viwanda, Sisi hizi property ndio urithi wa kuwaachia watoto wetu.Huna haja ya kujenga nyumba ya maisha yako wakati hujui utaishi miaka mingapi. Unaweza kuanza kujenga tu na ukavuta.
Ushauri wangu kwako ni huu: ishi kama wahindi
Naitaji kiwanja gezaulole kilichopimwa cha kulipia kwa vipindi naweza kupata kweliShukran kwa ushauri kiongozi, tayari nimechukua kiwanja kigamboni gezaulole block 17
Naitaji kiwanja gezaulole kilichopimwa cha kulipia kwa vipindi naweza kupata kweli kama kuna kampuni inayofanya hivo nipeni mchongo pleaseKigamboni ni new town, kilometres chache kutoka town, tatizo lake kivuko cha kulipia na daraja la kulipia.
Kama site ni nzuri go for Gezaulole, Mimi sivutiwagi na sehemu kama Goba ujenzi wa kwenye miinuko ni ujenzi ghali zaidi na shida za maji.
Bei zikoje mkuu hapo gezaulole?Shukran kwa ushauri kiongozi, tayari nimechukua kiwanja kigamboni gezaulole block 17
Nenda Mambwepande kabisa.BUNJU GHARAMA ZA VIWANJA ZIKOJE WAKUU ??
Huko kuna magaidiNjoo Ikwiriri hutajuta