Wapi nifungue account ya Biashara?

Wapi nifungue account ya Biashara?

Ask me

Member
Joined
Apr 28, 2015
Posts
27
Reaction score
14
Habari,

Nimefanya uchunguzi wangu japo kwa kiasi kujua wapi naweza kufungua account ya biashara kwa ajili ya biashara yangu ya ufugaji.Nimeangalia sana NMB na CRDB naona kuna wingi kubwa wa watu huko hivyo kuzungushana pamoja na rushwa vimeshamiri.

Okay swali langu kwenu ni BENKI GANI NYINGINE naweza fungua account hiyo mahususi kwa biashara itakayoniwezesha kupata mikopo ya biashara kama nikihitaji??
Asanteni sana
 
Thank you kijana13
Naweza nikapata kwako mawili matatu juu ya faida ulizopata kama wewe ni mmoja wa wateja wa Equity
 
Last edited by a moderator:
Habari,

Nimefanya uchunguzi wangu japo kwa kiasi kujua wapi naweza kufungua account ya biashara kwa ajili ya biashara yangu ya ufugaji.Nimeangalia sana NMB na CRDB naona kuna wingi kubwa wa watu huko hivyo kuzungushana pamoja na rushwa vimeshamiri.

Okay swali langu kwenu ni BENKI GANI NYINGINE naweza fungua account hiyo mahususi kwa biashara itakayoniwezesha kupata mikopo ya biashara kama nikihitaji??
Asanteni sana

Fungua TWIGA Bancorp kama uko mjini. Benki nyingine zitakuchosha na makato. Ila Twiga hawana Cheque Book
 
Back
Top Bottom