Ask me
Member
- Apr 28, 2015
- 27
- 14
Habari,
Nimefanya uchunguzi wangu japo kwa kiasi kujua wapi naweza kufungua account ya biashara kwa ajili ya biashara yangu ya ufugaji.Nimeangalia sana NMB na CRDB naona kuna wingi kubwa wa watu huko hivyo kuzungushana pamoja na rushwa vimeshamiri.
Okay swali langu kwenu ni BENKI GANI NYINGINE naweza fungua account hiyo mahususi kwa biashara itakayoniwezesha kupata mikopo ya biashara kama nikihitaji??
Asanteni sana