Wapi ninapata suruali aina ya Chino (cadet)?

Wapi ninapata suruali aina ya Chino (cadet)?

Naomba kujua zina nini cha ajabu!
Hii ni ngumu kupata jibu. Mtu anapenda kuvaa kanzu, mwingine anapenda jeans ,wewe uulize zina nini cha ajabu? Mara nyingi uzuri au ubaya upo machoni ama akilini mwa mhusika anaekitazama kitu husika.
 
Back
Top Bottom