lucky sabasaba
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,656
- 1,204
Mkuu na mimi nahitaji vitu vya hiace, vipi nitapata?Nenda Temeke pale ulizia tu utaonyeshwa sehemu wanauza...utapatana bei.kwa Coaster wanauza 1.5m kwa Hiace itakuwa labda nusu yake!
Mkuu na mimi nahitaji vitu vya hiace, vipi nitapata?
hawa ndio wana nikeraa, sisi warefu unakaa km unajamba, nilishawah rudishiwa nauli mara mbili.Inategemea unahitaji vya aina gani ukienda gerezani Kariakoo wapo mafundi wanaotengeza viti local na kutoa vile vinavyokuja na gari ili kuongeza idadi ya abiria
Kwa hiyo ni rahisi kupata pale
hawa ndio wana nikeraa, sisi warefu unakaa km unajamba, nilishawah rudishiwa nauli mara mbili.
napataga shida sana kwenye hivi vi hiace
Nenda TemekeMkuu na mimi nahitaji vitu vya hiace, vipi nitapata?
Temeke sehemu gani mkuu?Nenda Temeke