Wapi ninaweza kupata viti vya gari aina ya Hiace?

lucky sabasaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
1,656
Reaction score
1,204
Natafuta sehemu ntayoweza pata viti vya magari hiace yangu haina viti ipo dar es salaam..help
 
Nenda Temeke pale ulizia tu utaonyeshwa sehemu wanauza...utapatana bei.kwa Coaster wanauza 1.5m kwa Hiace itakuwa labda nusu yake!
 
Kunamtu nilimwambia aende temeke tatizo temeke ni kubwa hakupata
 
Nenda Temeke pale ulizia tu utaonyeshwa sehemu wanauza...utapatana bei.kwa Coaster wanauza 1.5m kwa Hiace itakuwa labda nusu yake!
Mkuu na mimi nahitaji vitu vya hiace, vipi nitapata?
 
Inategemea unahitaji vya aina gani ukienda gerezani Kariakoo wapo mafundi wanaotengeza viti local na kutoa vile vinavyokuja na gari ili kuongeza idadi ya abiria
Kwa hiyo ni rahisi kupata pale

hawa ndio wana nikeraa, sisi warefu unakaa km unajamba, nilishawah rudishiwa nauli mara mbili.

napataga shida sana kwenye hivi vi hiace
 
Kwa kweli Hiace zinaminywa siti kiasi kwamba kwa sie warefu ni majanga, wenyewe wanadai ukiacha zile seat zinazokuja na gari kutoka Japan abiria wanakuwa wachache
hawa ndio wana nikeraa, sisi warefu unakaa km unajamba, nilishawah rudishiwa nauli mara mbili.

napataga shida sana kwenye hivi vi hiace
 
Mid July napokea Hiace yangu toka Japan wakuu, tuelekezane wanaotengeneza viti vya hiace standard ili nije nifix
 
Back
Top Bottom