M Mboganyiru Member Joined Mar 22, 2012 Posts 43 Reaction score 19 Jul 6, 2019 #21 Hivi hizi mbegu miti yake inachukua muda gani hadi kuvuna(pines kwa mfano)? Na miti yake ina kuwa na ubora kama ya asili kweli?
Hivi hizi mbegu miti yake inachukua muda gani hadi kuvuna(pines kwa mfano)? Na miti yake ina kuwa na ubora kama ya asili kweli?
S Sendoro Mbazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 3,329 Reaction score 2,169 Jul 6, 2019 #22 breaky said: Hata mimi nahitaji kwa ngara asee Click to expand... Ngara unataka kupanda sehemu gani, Nimewahi ishi wly hiyo
breaky said: Hata mimi nahitaji kwa ngara asee Click to expand... Ngara unataka kupanda sehemu gani, Nimewahi ishi wly hiyo
B breaky Member Joined Aug 29, 2013 Posts 79 Reaction score 26 Jul 7, 2019 #23 Sendoro Mbazi said: Ngara unataka kupanda sehemu gani, Nimewahi ishi wly hiyo Click to expand... Nyakisasa
Sendoro Mbazi said: Ngara unataka kupanda sehemu gani, Nimewahi ishi wly hiyo Click to expand... Nyakisasa
S Sendoro Mbazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 3,329 Reaction score 2,169 Jul 7, 2019 #24 breaky said: Nyakisasa Click to expand... Ok Huko panda Pinus caribaea Wasiliana na meneja wa tfs wilaya ya ngara atakupa muongozo
breaky said: Nyakisasa Click to expand... Ok Huko panda Pinus caribaea Wasiliana na meneja wa tfs wilaya ya ngara atakupa muongozo
B breaky Member Joined Aug 29, 2013 Posts 79 Reaction score 26 Jul 8, 2019 #25 Sendoro Mbazi said: Ok Huko panda Pinus caribaea Wasiliana na meneja wa tfs wilaya ya ngara atakupa muongozo Click to expand... Kila wilaya ina manager?
Sendoro Mbazi said: Ok Huko panda Pinus caribaea Wasiliana na meneja wa tfs wilaya ya ngara atakupa muongozo Click to expand... Kila wilaya ina manager?
S Sendoro Mbazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 3,329 Reaction score 2,169 Jul 9, 2019 #26 breaky said: Kila wilaya ina manager? Click to expand... Ndiyo mkuu Wanaitwa district forest manager (dfm)
breaky said: Kila wilaya ina manager? Click to expand... Ndiyo mkuu Wanaitwa district forest manager (dfm)