Mboganyiru
Member
- Mar 22, 2012
- 43
- 19
Hivi hizi mbegu miti yake inachukua muda gani hadi kuvuna(pines kwa mfano)?
Na miti yake ina kuwa na ubora kama ya asili kweli?
Na miti yake ina kuwa na ubora kama ya asili kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngara unataka kupanda sehemu gani,Hata mimi nahitaji kwa ngara asee
NyakisasaNgara unataka kupanda sehemu gani,
Nimewahi ishi wly hiyo
OkNyakisasa
Kila wilaya ina manager?Ok
Huko panda Pinus caribaea
Wasiliana na meneja wa tfs wilaya ya ngara atakupa muongozo
Ndiyo mkuuKila wilaya ina manager?