No_Worries
Member
- Sep 27, 2016
- 69
- 23
Wakuu nawasalimu!
Tafadhali kama unajua duka (Dar es salaam ama Dodoma) ambalo naweza kununua hii mashine ya kuzibia chupa za mvinyo (wine) ambayo kwa Kiingereza wanaiita 'wine bottle corker machine' (pichani) naomba unifahamishe.
Nahitaji moja tu kwa ajili ya shughuli zangu nyumbani.