Wapi nitaipata wine bottle corker machine?

No_Worries

Member
Joined
Sep 27, 2016
Posts
69
Reaction score
23
Wakuu nawasalimu!

Tafadhali kama unajua duka (Dar es salaam ama Dodoma) ambalo naweza kununua hii mashine ya kuzibia chupa za mvinyo (wine) ambayo kwa Kiingereza wanaiita 'wine bottle corker machine' (pichani) naomba unifahamishe.

Nahitaji moja tu kwa ajili ya shughuli zangu nyumbani.

wine bottle corker machine.PNG
 
Mashine siyo lazima iwe kama hiyo hapo juu exactly, hata aina nyingine cha msingi iwe na uwezo wa kufanya kazi vema!
 
Wakuu nawasalimu!

Tafadhali kama unajua duka (Dar es salaam ama Dodoma) ambalo naweza kununua hii mashine ya kuzibia chupa za mvinyo (wine) ambayo kwa Kiingereza wanaiita 'wine bottle corker machine' (pichani) naomba unifahamishe.

Nahitaji moja tu kwa ajili ya shughuli zangu nyumbani.

View attachment 2313409
Nenda Sido zipo na bei yao iko chini
 
Back
Top Bottom