Afyayaakili
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 924
- 1,263
Material gani iyoWadau naomba kujua wapi nitapata aina hii ya mifuko kwa bei ya jumla kwa Dar au Arusha. Au hata kama ushawahi kununua bei zake zinaendaje. Maan naona ndio itakuja kuwa mbadala wa mifuko ya nylon nahisi future ya biashara ya vibebeo iko huku.
View attachment 1080849View attachment 1080850
Ni wovenMaterial gani iyo
regency wanamifuko hii inayooza sijui wanaiorder wapiNi woven
Wadau naomba kujua wapi nitapata aina hii ya mifuko kwa bei ya jumla kwa Dar au Arusha. Au hata kama ushawahi kununua bei zake zinaendaje. Maan naona ndio itakuja kuwa mbadala wa mifuko ya nylon nahisi future ya biashara ya vibebeo iko huku.
View attachment 1080849View attachment 1080850