Wakuu, kama kuna mtu anaweza kunielekeza mahali nitakakozipata aina hizi za kuku kwenye picha tuwasiliane please. Natamani kuwafuga kuwafuga wakuu kwani wanapendeza sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una sh ngapi niongee na hamaa fulani wakuagizie fertilized eggs kutoka South Aftica utotoleshe, ila hawa kuku ni ghari balaa
Ukiwa nao hao wengi kwenye maonyesho kama ya nanenane ni lazima urudi ukiwa younger millionaire.Mimi sijawapenda hao kuku naona wanatisha