Naomba kuuliza ni wapi naweza kupata bidhaa za nywele asili kama shampoo, leav in conditioner, deep conditioner nk.. kwa bei ya jumla. Nahitaji kuanza biashara huu nipo Musoma.
Sawa ni jambo zuri, kikubwa pitia pia muongozo wa TBS kuna viambaata vya shampoo kama zinc wamezuia, na jumatau ilopita watu kariakoo wamepoteza mitaji yao. Kwa sisi wa organic tuna kamua mafuta kama ya karafuu na parachichi hakuna mba atabaki