Neek Conqueror
Member
- Sep 10, 2018
- 9
- 12
L
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natural Skin solutions tunaandaa vipodozi organic kwa mimea na matunda kwa ajili ya ngozi na nywele asilia.Habari za muda huu wakuu,
Naomba kuuliza ni wapi naweza kupata bidhaa za nywele asili kama shampoo, leav in conditioner, deep conditioner nk.. kwa bei ya jumla. Nahitaji kuanza biashara huu nipo Musoma.
Sawa ni jambo zuri, kikubwa pitia pia muongozo wa TBS kuna viambaata vya shampoo kama zinc wamezuia, na jumatau ilopita watu kariakoo wamepoteza mitaji yao. Kwa sisi wa organic tuna kamua mafuta kama ya karafuu na parachichi hakuna mba atabakiSawa ila mimi nahitaji kuuza za brand tofauti tofauti sio brand moja tu
Naweza pata kwa matumizi ya kawaida?Natural Skin solutions tunaandaa vipodozi organic kwa mimea na matunda kwa ajili ya ngozi na nywele asilia.
Tuko maili moja Kibaha,
Tupigie kwa 0713039875,