- Thread starter
- #141
Parefu sana120,000 unaongeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Parefu sana120,000 unaongeza
Kwanini unataka chumba cha 30,000 angalau basi 50 utapata single nzuriParefu sana
Ni kweli mkuuBora upange chumba cha laki 1 kariakoo, na maeneo ya jirani kuliko kwenda mbali then unatumia usafiri wa elf 3 kwa siku
Kwa sasa sina pesa za kutoshaKwanini unataka chumba cha 30,000 angalau basi 50 utapata single nzuri
Kizuri hauwezi kupata kwa bajeti hiyo mkuuNataka kizuri mkuu
Chumba cha 30k "KIZURI"??!! 😆😆😆Naombeni mnisaidie sehemu yenye vyumba vya 30000 kwa dar
Ndio mkuuChumba cha 30k "KIZURI"??!! 😆😆😆
Kiwe kigamboni mkuuSema unataka chumba cha 30k kiwe wap
Vyumba vpo mzee
Hiyo ndio ipo bossKizuri hauwezi kupata kwa bajeti hiyo mkuu
Kwa sasa unaishi wapi?Kwa sasa sina pesa za kutosha
KigamboniKwa sasa unaishi wapi?
Neno kizuri ungetoa mkuu, chumba cha 30k ni sehem ya kujificha tuNdio mkuu
Kwangu ni sehemu ya kuishi. Tupunguze dharauNeno kizuri ungetoa mkuu, chumba cha 30k ni sehem ya kujificha tu
Sio dharau ila apo kusema kizuri ndo changamoto.. Yaan unapataje chumba kizuri kwa 30k mkuu??Kwangu ni sehemu ya kuishi. Tupunguze dharau
Sawa mkuuSio dharau ila apo kusema kizuri ndo changamoto.. Yaan unapataje chumba kizuri kwa 30k mkuu??
Ungesema nataka chumba cha kuishi ingetosha, ila umesema kizuri ndo umechanganya habari.. Asante sana