Wapi nitapata chumba kizuri cha 30000 kwa Dar es Salaam

Bora upange chumba cha laki 1 kariakoo, na maeneo ya jirani kuliko kwenda mbali then unatumia usafiri wa elf 3 kwa siku
 
Kwangu ni sehemu ya kuishi. Tupunguze dharau
Sio dharau ila apo kusema kizuri ndo changamoto.. Yaan unapataje chumba kizuri kwa 30k mkuu??
Ungesema nataka chumba cha kuishi ingetosha, ila umesema kizuri ndo umechanganya habari.. Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…