Wapi nitapata Church Trolley?

Wapi nitapata Church Trolley?

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,273
Reaction score
13,567
Habari za usiku?
IMG_20230122_204942.jpg

Naomba kujua wajuzi wapi nitapata Church Trolley ya kununua kwa ajili ya shughuli za mazishi?

Anayejua duka au sehemu naomba mawasiliano.

Asante.
 
Kama dar nenda maeneo ya muhimbili utapata direction nzuri kama kwenye yale maduka hakuna
 
Nenda ANUDHA LTD, Duka lao liko Kisutu, kati ya mitaa ya Libya na Jamhuri barabara ya Morogoro pembeni yake Exim Bank, mkabala na Mamboz Conner BBQ.
 
Nenda ANUDHA LTD, Duka lao liko Kisutu, kati ya mitaa ya Libya na Jamhuri barabara ya Morogoro pembeni yake Exim Bank, mkabala na Mamboz Conner BBQ.
Niwewasiliana nao lakini hawana hiyo kitu.
Bado natafuta Church trolley.
 
Tengeneza mkuu .. hiyo inatengenezrka kwa kiwango thabiti
 
Niwewasiliana nao lakini hawana hiyo kitu.
Bado natafuta Church trolley.
Du!... Sikutegemea jibu hilo, hawa ndio mawakala waagizaji wa vifaa vya aina hiyo. Jaribu kwenye mashirika ya dini hasa katoliki, unaweza kupata ya mtumba.
 
Back
Top Bottom