Wakuu mwenye kujua naomba anifahamishe?
mpigamsuli ndugu sihitaji tution za vichochoroniNitafute nikufundishe law of contract, sales of goods act, criminal procedure law,insurance law,legal methods,legal system of east africa,banking law,criminal law,evidence act,jurisprudence ,constitutional law,administrative law,n.k mtafute na mwenzio nije tusome niko siriaz
Mkuu tafuta chuo kinaitwa university of Bagamoyo.
Hawa jamaa program yao ya LLB ni evening.
Classes huanza saa 11 jion had saa 2 usiku. Nawajua kias ni wazuri na wanatumia walimu ambao ni wazoefu na wengi wao wanatoka UDSM. Unaweza ukatembelea website yao kujionea taarifa zaidi.
Wakuu mwenye kujua naomba anifahamishe
Hahaha unataka kusema nitadisco mapema loh haya
Kaka mshika mawili moja humponyoka.
Ahsante kwa kunipa moyoKikubwa komaa tu mbona wengi wameweza.
Dah hizo ada ndio kikwazo atleast ingekuwa 1.5Mkuu check na tumaini university dar college,ada mi 2.5 pindi linaanza saa 11 ila sifa kubwa ya hawa wazee ni kuiba mitihani..
Evening class kiongoziDarasa la jioni?? Unamaanisha kitu gani?
Hebu fafanua ueleweke
Mkuu check na tumaini university dar college,ada mi 2.5 pindi linaanza saa 11 ila sifa kubwa ya hawa wazee ni kuiba mitihani..
Mkuu check na tumaini university dar college,ada mi 2.5 pindi linaanza saa 11 ila sifa kubwa ya hawa wazee ni kuiba mitihani..