Wapi nitapata darasa la jioni kwa kozi ya LLB hapa dar

Wapi nitapata darasa la jioni kwa kozi ya LLB hapa dar

Luno G

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2012
Posts
2,549
Reaction score
1,849
Wakuu mwenye kujua naomba anifahamishe
 
Wakuu mwenye kujua naomba anifahamishe?

Nitafute nikufundishe law of contract, sales of goods act, criminal procedure law,insurance law,legal methods,legal system of east africa,banking law,criminal law,evidence act,jurisprudence ,constitutional law,administrative law,n.k mtafute na mwenzio nije tusome niko siriaz
 
mpigamsuli ndugu sihitaji tution za vichochoroni
 
Last edited by a moderator:
yan wale wanaopgwa lecture asubuh to jion wanadsko afu we ndo unataka pind la jion tu..acha utan kaka
 
Mkuu tafuta chuo kinaitwa university of Bagamoyo.
Hawa jamaa program yao ya LLB ni evening.
Classes huanza saa 11 jion had saa 2 usiku. Nawajua kias ni wazuri na wanatumia walimu ambao ni wazoefu na wengi wao wanatoka UDSM. Unaweza ukatembelea website yao kujionea taarifa zaidi.
 
Yeah nmepata taarifa kuhusu bagamoyo university ila hawa wajamaa gharama zao ni kubwa sana kiasi cha kunifanya nishindwe kusoma pale tution fee pekee ni over 2mil sasa hii kwa kipato changu nitashindwa
 
Mkuu check na tumaini university dar college,ada mi 2.5 pindi linaanza saa 11 ila sifa kubwa ya hawa wazee ni kuiba mitihani..
 
Darasa la jioni?? Unamaanisha kitu gani?

Hebu fafanua ueleweke
 
Kaka mshika mawili moja humponyoka.

Kama kuponyokwa na moja tu sio tatizo kikubwa nisipotezw vyote, sipendagi kulinganisha mambo ila nadhani unajua kwamba hata mtihani wenyewe wa form six niliufanya nikiwa nafanya ishu zangu nyengine!

Najua ugumu upo ila nakuhakikishia kwenye juhudi, maarifa pamoja na kuomba mungu kila kitu kinawezekana
 
Naijua kaka na komaa sana cause huko unapokwenda sasa inabidi ukomae sana.
 
Mkuu check na tumaini university dar college,ada mi 2.5 pindi linaanza saa 11 ila sifa kubwa ya hawa wazee ni kuiba mitihani..

sidhani kama kunaukweli hapo kuna jamaa zangu nilikutana nao Law school walikuwa vema tu na wengi wanafanya vizuri
 
Back
Top Bottom