Nitafute nikufundishe law of contract, sales of goods act, criminal procedure law,insurance law,legal methods,legal system of east africa,banking law,criminal law,evidence act,jurisprudence ,constitutional law,administrative law,n.k mtafute na mwenzio nije tusome niko siriaz
sidhani kama kunaukweli hapo kuna jamaa zangu nilikutana nao Law school walikuwa vema tu na wengi wanafanya vizuri
Darasa la jioni?? Unamaanisha kitu gani?
Hebu fafanua ueleweke
Yeah nmepata taarifa kuhusu bagamoyo university ila hawa wajamaa gharama zao ni kubwa sana kiasi cha kunifanya nishindwe kusoma pale tution fee pekee ni over 2mil sasa hii kwa kipato changu nitashindwa
Jikusanyeni tu niwapigie vitu tutaanza na masomo matano tu 1.law of contract 2.criminal procedure 3.insurance law 4.legal methods 5.legal system of east africa ,nipo kimara mwisho ,napiga part time vyuo vya paradigms ,tanzania international university pale nawapigia busines law ,legal and ethical aspect in marketing , Nipo pia partime TIA nawapigia watu wa certificate commercial law ,nipo pia nawapigia watu wa open university , pia nipo parttime EUKENFORD Nawapigia busines law
We ulitaka niseme ninayo wakati sina? Mungu akubariki wewe mwenye nyingi za kujitosheleza
Kuhusu uzee ngoja nikae kimya wenye kunijua kama ndugu yangu Makbel najua watakuwa wamekushangaa
Acha kujifariji na hao jamaa zako...watu wa tumaini ni janga pale law school,yaani wengine hata kuandika kiingereza cha kawaida hawajui...ni vilaza hadi unatamani ujitundike,ukifikiria majority ya watanzania wanaotegemea huduma zao!
duh mkuu hakuna kozi inaitwa evidence act....hahahaha,hapo umechemka perhaps ulitaka kusema "evidence law" or "law of evidence"
ukipata evening class, tafuta na kitabu hiki kitakusaidia sana.Wakuu mwenye kujua naomba anifahamishe
Kweli wengine uonyesha wako low bila kujijua, sasa umeandika upuuzi gani huu wewe? Unafurahia kudonoa herufi ulilazimishwa ujibu. SADingia pale udsm library
tution yote utapata hapo
Ok ndugu nmekupata
acha na huyu mpigamsuli hana lolote