Wapi nitapata darasa la jioni kwa kozi ya LLB hapa dar

Wapi nitapata darasa la jioni kwa kozi ya LLB hapa dar

Watangazie na watu wa BAF Na procurement ,kuna tuition ya masomo ya INTERNATIONAL FINANCE, MACRO ECONOMICS,MICRO ECONOMICS,FINANCIAL ACCOUNTING,FINANCIAL MANAGEMENT,ACCOUNTING I,ACCOUNTING II,MANAGERIAL ACCOUNTING,MANAGERIAL ECONOMICS,
 
try saut pale msimbazi cina hakika jaribu. na tumaini pia
 
ni mimi mwenyewe aisee. mimi mwenyewe ndio author wa kitabu hiki. tumeshauza na kusambaza maeneo mengi vimejaa mtaani.

sasa si ujitaje we ni nani "mpeni sifa yesu" ndo jina gani,great person like you hakuna haja ya kuhide ur true identity...anywayz hongera kwa kazi nzuri,tunahitaji watu kama nyinyi
 
Back
Top Bottom