axel fowly
Senior Member
- Aug 14, 2012
- 137
- 49
Madhara ya kuweka wese la sh 5000/= ndio hayo, hata ukibadirisha pampu na hiyo pia itakufa vilevile.Habarini wakuu,
Nahitaji fuel pump ya toyota brevis original, Mwenye kujua wapi nitapata tafadhali naomba nielekezwe.
Nipo Dar es salaam.
Aisee,
Kesho mara utaona check engine, mara tena watasema achana na gari zenye d-4 engine
Anyway, unaweza kuletewa hadi mlangoni kwako kutoka japan moja kwa moja
Mimi kuna kampuni huwa nawapigia tuu wananiletea!
Madhara ya kuweka wese la sh 5000/= ndio hayo, hata ukibadirisha pampu na hiyo pia itakufa vilevile.
Badili tabia kwanza kabla ya kubadilisha pampu, pia achana na filling station za magumashi, weka wese Puma au total.
Aisee,
Kesho mara utaona check engine, mara tena watasema achana na gari zenye d-4 engine
Anyway, unaweza kuletewa hadi mlangoni kwako kutoka japan moja kwa moja
Mimi kuna kampuni huwa nawapigia tuu wananiletea!
Nenda shaurimoyo Kariakoo utapata kila Aina ya spare parts...
Habarini wakuu,
Nahitaji fuel pump ya toyota brevis original, Mwenye kujua wapi nitapata tafadhali naomba nielekezwe.
Nipo Dar es salaam.
Habarini wakuu,
Nahitaji fuel pump ya toyota brevis original, Mwenye kujua wapi nitapata tafadhali naomba nielekezwe.
Nipo Dar es salaam.
Brevis ina engine gani?
Kuna brevis zina pump 2 na zingine zina moja. High na Low.
Yes 1jz kuna ambazo ni D4 na ambazo ni non d4.Hii ni 1jz mkuu..
Yes 1jz kuna ambazo ni D4 na ambazo ni non d4.
D4 ina pump mbili.