Wapi nitapata Fuel pump Toyota Brevis kwa Dar es Salaam?

Wapi nitapata Fuel pump Toyota Brevis kwa Dar es Salaam?

Habarini wakuu,

Nahitaji fuel pump ya toyota brevis original, Mwenye kujua wapi nitapata tafadhali naomba nielekezwe.

Nipo Dar es salaam.
Madhara ya kuweka wese la sh 5000/= ndio hayo, hata ukibadirisha pampu na hiyo pia itakufa vilevile.

Badili tabia kwanza kabla ya kubadilisha pampu, pia achana na filling station za magumashi, weka wese Puma au total.
 
Ilala mtaa wa jangombe used unapata uhakika ila ka wataka mpya chek na jamaa wanamuita mpemba pale magomeni mikumi
 
Madhara ya kuweka wese la sh 5000/= ndio hayo, hata ukibadirisha pampu na hiyo pia itakufa vilevile.

Badili tabia kwanza kabla ya kubadilisha pampu, pia achana na filling station za magumashi, weka wese Puma au total.

Sawa mkuu!
 
Aisee,

Kesho mara utaona check engine, mara tena watasema achana na gari zenye d-4 engine

Anyway, unaweza kuletewa hadi mlangoni kwako kutoka japan moja kwa moja

Mimi kuna kampuni huwa nawapigia tuu wananiletea!

Mkuu naomba contacts zao .
 
Daaah mkuu kununua fuel pump used hakuna pampu sijui pampu ya brevis wala crown petrol fuel pump kwa japan manufacturing zinafungiana na gharama zake ni 40 50 mzee baba popote pale nchini na pia penda kuweka mafuta mengi kwa ajili ya kuilinda hiyo pampu nmekupata hit mpaka kufa mkuu

NB
HAKUNA PUMP ZA BREVIS ILA JAPAN MANUFACTURING PUMP ZAKE ZIPO SAWA HIVYO PUMP INAYOFUNGA PRIMIO NDO INAYOFUNGA BREVIS MKUU KWA HIDUMA ZAIDI
0653271318
stoplight
 
mzee baba popote pale nchini na pia penda kuweka mafuta mengi kwa ajili ya kuilinda hiyo pampu nmekupata hit mpaka kufa mkuu

... PUMP INAYOFUNGA PRIMIO NDO INAYOFUNGA BREVIS MKUU KWA HIDUMA ZAIDI
0653271318
stoplight
Andika kwa ufasaha
 
Back
Top Bottom