MkuuUsihangaike tumia rim za magari kama mashuleni
Huku kwenye ceremony zetu huwa tunatumia hizi sana, karibu sana mkuu siku mojaNako Huko Pia Mnatumia Kengele Na Mnapiga Mapigo Ya Kanisani Kabisa Ama Vp,
Kanisani Utaisikia Alfajiri, Mchana, Jioni Na Kwenye Matukio Maalum Ngo~Ngo ~Ngo
Sample hizi kadhaa, niambie wataka ipiNako Huko Pia Mnatumia Kengele Na Mnapiga Mapigo Ya Kanisani Kabisa Ama Vp,
Kanisani Utaisikia Alfajiri, Mchana, Jioni Na Kwenye Matukio Maalum Ngo~Ngo ~Ngo
MkuuSample hizi kadhaa, niambie wataka ipi
View attachment 1526621
Muulize mtoa mada anaitaka ya nini? anataka kufungua kanisa au ndio hizo siri unazozisema π
Hizi kengele huwa tunatumia kuzipa ishara roho, ili ziwe katika unit ya kukaa kwa hali ya utulivu kwa ajiri ya roho kuu kuanza kuendesha ibada na miongozi ili portal ( malango nayo yafunguke ).. huamsha roho na kuziweka tayari, malango kufunga na shughuli za kiroho huanzaIbada Zenu Mnafanyia Wapi
Leo Ndiyo Najua Huko Nako Mnatumia Kengele
Kua Uyaone, Mambo Mengi Sana. Hapa Hapa Nitajua Mengi Kuhusu Kengele Ninayoitaka
Haya ndio majibu ya kihuni π‘Anataka akamfunge PAKA kengele.
Haya ndio majibu ya kihuni π‘
Wasiliana na hawa : Christoph Paccard Bell FoundryInahitajika( Bell) Kengele Kubwa Hasa Hasa Kama Zile Zinazotumiwa Na Makanisa Hasa Makongwe.
Anayejua Upatikanaje Wake Hapa Tanzania Anijuze Maana Ina Matumizi Mengi. Hata Ikiwa Ni Nje Ya Nchi Tafadhali Nijuze Ni Kengele Zinazotengenezwa Nchi Gani Ni Imara, Madhubuti Na Zina Mlio Mkali.
Hapo Kwenye Mlio Nadhani Wataalam Watanijuza Nikiipata Niifunge Urefu Gani Kwenda Juu (Yaani Mnara Nikaoujenga Kuweka Kengele)
Ili Nitakapokuwa Naipiga Yale Mapigo Ngo ~Ngo~Ngo!!! Yasikike Eneo Kubwa Sana Mji, Picture Ya Chuma Kama Hili.
View attachment 1526550
Sa likengere kuuubwa ivo tena ameuliza na urefu kiasi gani alifunge ili lilie ngo ngo ngo umbali mrefuKivipi mkuu, kuna threads kadhaa zimepita pita baada ya Mkapa kufariki zikiuliza, "Nani atamfunga Paka kengele?".
Huyu jamaa kaamua kuwa serious na hii kitu.
Sa likengere kuuubwa ivo tena ameuliza na urefu kiasi gani alifunge ili lilie ngo ngo ngo umbali mrefu
[/QUOTE]Wasiliana na hawa : Christoph Paccard Bell Foundry
2652 Bonds Avenue, Suite 202
N. Charleston, SC 29405 USA
info@christophpaccard.com