Wapi nitapata kengele (Bell)

Wapi nitapata kengele (Bell)

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kaibe kanisani!
😀😁😂😅😄😃😃
Unaweza Kutoka Majipu Mwili Mzima
Halafu Hutaweza Kumbuka Lile Ni Zito Sana Na Linawekwa Juu, Utaweza Sasa. Chuma Cha Pua!!
 
Nako Huko Pia Mnatumia Kengele Na Mnapiga Mapigo Ya Kanisani Kabisa Ama Vp,
Kanisani Utaisikia Alfajiri, Mchana, Jioni Na Kwenye Matukio Maalum Ngo~Ngo ~Ngo
Huku kwenye ceremony zetu huwa tunatumia hizi sana, karibu sana mkuu siku moja
 
Nako Huko Pia Mnatumia Kengele Na Mnapiga Mapigo Ya Kanisani Kabisa Ama Vp,
Kanisani Utaisikia Alfajiri, Mchana, Jioni Na Kwenye Matukio Maalum Ngo~Ngo ~Ngo
Sample hizi kadhaa, niambie wataka ipi
Screenshot_20200804-091053_Chrome.jpg
 
Huku kwenye ceremony zetu huwa tunatumia hizi sana, karibu sana mkuu siku moja
Ibada Zenu Mnafanyia Wapi
Leo Ndiyo Najua Huko Nako Mnatumia Kengele
Kua Uyaone, Mambo Mengi Sana. Hapa Hapa Nitajua Mengi Kuhusu Kengele Ninayoitaka
 
Ibada Zenu Mnafanyia Wapi
Leo Ndiyo Najua Huko Nako Mnatumia Kengele
Kua Uyaone, Mambo Mengi Sana. Hapa Hapa Nitajua Mengi Kuhusu Kengele Ninayoitaka
Hizi kengele huwa tunatumia kuzipa ishara roho, ili ziwe katika unit ya kukaa kwa hali ya utulivu kwa ajiri ya roho kuu kuanza kuendesha ibada na miongozi ili portal ( malango nayo yafunguke ).. huamsha roho na kuziweka tayari, malango kufunga na shughuli za kiroho huanza
 
Inahitajika( Bell) Kengele Kubwa Hasa Hasa Kama Zile Zinazotumiwa Na Makanisa Hasa Makongwe.

Anayejua Upatikanaje Wake Hapa Tanzania Anijuze Maana Ina Matumizi Mengi. Hata Ikiwa Ni Nje Ya Nchi Tafadhali Nijuze Ni Kengele Zinazotengenezwa Nchi Gani Ni Imara, Madhubuti Na Zina Mlio Mkali.

Hapo Kwenye Mlio Nadhani Wataalam Watanijuza Nikiipata Niifunge Urefu Gani Kwenda Juu (Yaani Mnara Nikaoujenga Kuweka Kengele)

Ili Nitakapokuwa Naipiga Yale Mapigo Ngo ~Ngo~Ngo!!! Yasikike Eneo Kubwa Sana Mji, Picture Ya Chuma Kama Hili.
View attachment 1526550
Wasiliana na hawa : Christoph Paccard Bell Foundry
2652 Bonds Avenue, Suite 202
N. Charleston, SC 29405 USA
info@christophpaccard.com[/QUOTE]
 
Kivipi mkuu, kuna threads kadhaa zimepita pita baada ya Mkapa kufariki zikiuliza, "Nani atamfunga Paka kengele?".

Huyu jamaa kaamua kuwa serious na hii kitu.
Sa likengere kuuubwa ivo tena ameuliza na urefu kiasi gani alifunge ili lilie ngo ngo ngo umbali mrefu
 
Back
Top Bottom