Wapi nitapata kipimo cha hormonal Imbalance and Premature Ejaculation"

Wapi nitapata kipimo cha hormonal Imbalance and Premature Ejaculation"

Ndomaana nikaulizia vipimo akapime
Mkuu hujajibu vema, umejuaje kama yuko nahiyo shida? Yani unasikia homa unaenda maabara unawaambia mnipime malaria? Sio kila homa ni malaria, onana na mtaalamu, muelekeze shida yako then mnaanzia hapo
 
Samahani wakubwa naulizia kipimo cha Hormonal Imbalance hapa Tanzania kipo kama kipo kinapatikana wapi naomba msaada coz kuna rafiki yangu anatatizo
Aende hospitali ya TMJ (Dsm)
 
Back
Top Bottom