Wapi nitapata mafunzo ya intelijensia?

Sijawahi Kusikia chuo kinachofundisha ujasusi isipokuwa ktk majeshi yetu.
udsm siku hizi kuna kozi inaitwa B.A Law Enforcement. Ni shahada inayohusiana na masuala ya Ulinzi na Usalama. Miongoni mwa masomo yanayofundishwa ni INTELIJENSIA
 
cha kufanya nenda kambo yeyote ya jeshi anza kutukana ovyo kwa sautu kubwa,shusha bendera,nenda kamwage chakula mgahawani kwao! ukifanikiwa kutoka salama basi utakuwa umefuzu mkuu
 
udsm siku hizi kuna kozi inaitwa B.A Law Enforcement. Ni shahada inayohusiana na masuala ya Ulinzi na Usalama. Miongoni mwa masomo yanayofundishwa ni INTELIJENSIA
You are right and najiulizaga serikali wasipowaajiri hii knowledge wataipeleka wapi!
 
You are right and najiulizaga serikali wasipowaajiri hii knowledge wataipeleka wapi!

Kampuni za ulinzi za binafsi nyingi tu. Lakini makampuni makubwa mengi ya sirikali na binafsi huajiri afisa ulinzi. Mashirika ya UN hasa huko Afghanistan.

Kwa kuongezea aina nyingine ya intelejensia ni Jamii Intelligence.

Na washawasha!
 
Nimekupata bro, nitaifikiria vizuri hii kozi imenivutia,.
 
nijuavyo mimi kwanza wanaangalia kipaji chako kipoje...hapo ndio wanapoanzia...km USA hua wanawachukua wale vijana wenye uwezo sana vyuoni au high school na kuanza wafuatilia taratibu pia kupitia walimu wao...wao ndio wanakua viunganishi wakubwa wa hio program.
baada ya hapo unajikuta tu umekwisha ingia kwakua kuna vitu watakua wanakupatia kupitia mwalimu wako bila kujua at last wanakuja kukifahamisha kua upo ndani ya usalama...but unakua umefanya vitu vingi sana mpk wanakuja kukujulisha....baada ya hapo wanakuchukua na kukupeleka kwenye program zao rasmi za kijajusi na hii inategemea na kupaji chako....km ni computer expert utapelekwa huko...km ni uchumi utapelekwa huko...unadhani nchi nyingine wanafilisiwa vipi km sio mafunzo ya ujasusi wa kiuchumi...ni hayo
 
Inteligence haifundishwi. Kinachofundishwa kingine kabisa, inategemea na "how intelligent you are" kuelewa.

Kwanza kabisa, anza kwa kusoma kila unachokutana nacho. Usichaguwe cha kusoma. Anzia hapo.
dah jibu bora tangu kuanza kwa wiki hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…