Mukimbiri
Senior Member
- Mar 4, 2015
- 133
- 144
Siyo Kunduchi?National defence college hukoo mbweni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo Kunduchi?National defence college hukoo mbweni
udsm siku hizi kuna kozi inaitwa B.A Law Enforcement. Ni shahada inayohusiana na masuala ya Ulinzi na Usalama. Miongoni mwa masomo yanayofundishwa ni INTELIJENSIASijawahi Kusikia chuo kinachofundisha ujasusi isipokuwa ktk majeshi yetu.
You are right and najiulizaga serikali wasipowaajiri hii knowledge wataipeleka wapi!udsm siku hizi kuna kozi inaitwa B.A Law Enforcement. Ni shahada inayohusiana na masuala ya Ulinzi na Usalama. Miongoni mwa masomo yanayofundishwa ni INTELIJENSIA
You are right and najiulizaga serikali wasipowaajiri hii knowledge wataipeleka wapi!
Utapotea dgo acha zarau.......Nafikiri amechoka na itelijensia uchwara za serikali ya magamba.
Hahaaas..kumbe anatakaNina mdogo wangu pia anataka hii kitu kamaliza degree yake mwaka jana...
Nimekupata bro, nitaifikiria vizuri hii kozi imenivutia,.Kampuni za ulinzi za binafsi nyingi tu. Lakini makampuni makubwa mengi ya sirikali na binafsi huajiri afisa ulinzi. Mashirika ya UN hasa huko Afghanistan.
Kwa kuongezea aina nyingine ya intelejensia ni Jamii Intelligence.
Na washawasha!
Hahaaas..kumbe anata
Angeomba mwaka huu mbna zlitoka
Huwa zinatoka kila mkoa. Wali tangaza kama sikosei mwezi wa tatu mwazoni.unajua kusikia kama zimetoka napo ni issue nyingine
dah jibu bora tangu kuanza kwa wiki hiiInteligence haifundishwi. Kinachofundishwa kingine kabisa, inategemea na "how intelligent you are" kuelewa.
Kwanza kabisa, anza kwa kusoma kila unachokutana nacho. Usichaguwe cha kusoma. Anzia hapo.