Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Mkuu, kaa kwa kutulia, wajuvi wa mambo watakuja kuweka hapa. Wala usijaliNenda machinga complex Kila kitu utakipata...ila kwenye swala la formula ni darasa ambalo unatakiwa ulipie... hakuna mtu anaweza kukuwekea hapa formula...!
Upo sehemu gani...?
NEnda kkoo maduka yapo kibaoHabari wana JF, nataka kumfungulia mwanangu duka la kuuza sabuni za maji. Tayari ameshapata knowledge on how to prepare it kupitia Social Media. Kilichobaki ni mahali pa kupatia malighafi za utengenezaji kama vile:
(a) Sulfonic Acid
(b) Slesi
(c) Soda ash
(d) Alca 2
____________________H2O
(e) Glyceline ya sabuni ya maji
(f) perfume za sabuni
(g) DMH (Durability)
(h) Rangi ya sabuni
(i) Chumvi (Heavyness)
_________________4 hrs
Pia kwa mtu anayefahamu vipimo halisi vya mchanganyiko huo aweke hapa kwa utengenezaji wa sabuni ndoo 20 litres
Mkuu, kaa kwa kutulia, wajuvi wa mambo watakuja kuweka hapa. Wala usijali
Kwanini wasiweke hapa formula?Nenda machinga complex Kila kitu utakipata...ila kwenye swala la formula ni darasa ambalo unatakiwa ulipie... hakuna mtu anaweza kukuwekea hapa formula...!
Upo sehemu gani...?
Awapi, wacha wanadaslamu watennezewe sabuni kaka. Mimi ndo rxn yenyewe japo nilisoma HGKL[emoji41]Umeona...! Vitu hatari kama hivyo sio vya kuvisoma mtandaoni tafuta mwalimu umlipe akufundishe...! Usifanye mchezo na chemical reaction...!
Sawa Rafiki yangu...nakutakia mafanikio...!Awapi, wacha wanadaslamu watennezewe sabuni kaka. Mimi ndo rxn yenyewe japo nilisoma HGKL[emoji41]
Well said π π πHaya wakija uni tag...! Cha kukusaidia ukifika hapo machinga complex...atakae kuuzia hizo material muombe akukutanishe na mwalimu mazuri...!
Hata kama KunA mtu atakupa formula hapa bila vitendo huwezi kufanikisha...! Kwenye kuitafuta elimu kitu kinacho itwa GHARAMA hakiepukiki...
View attachment 2921796
Hizo unazo ziona mezani hapo sio vitenge ni Bhatiki. Na hiyo unaona amevaa huyo mwanamke pia ni Bhatiki. Kwa hiyo ujasiriamali Mimi naufahamu kindaki ndaki mkuu...!
Formula ya kuisoma mtandaoni ni tofauti kabisa na formula utakayopewa kwa vitendo unless otherwise uwe hutaki kufanya ujasiriamali kama kazi...!
Lakini kingine Rafiki yangu hizo zote hapo ulizo andika ni chemical ambazo ni sumu kubwa sana. KunA ambazo zikiwekwa kwenye maji ya baridi yanaanza kuchemka. KunA ambazo zikigusa chuma muda huo huo kinapata kutu.
Umeona...! Vitu hatari kama hivyo sio vya kuvisoma mtandaoni tafuta mwalimu umlipe akufundishe...! Usifanye mchezo na chemical reaction...!
[emoji23][emoji23][emoji23]Eti nilipie, kwani mimi ni mwanamke? Yaani kusoma sijui, hata picha sioniWell said [emoji122] [emoji108] [emoji106]
Sumu vibaya mno.
kama usipolipia elimu kaa ujue Ujinga unalipiwa pia - By Giky
Gily Gru
Texas viko vingi tu mtaa wa Westend 107.Habari wana JF, nataka kumfungulia mwanangu duka la kuuza sabuni za maji. Tayari ameshapata knowledge on how to prepare it kupitia Social Media. Kilichobaki ni mahali pa kupatia malighafi za utengenezaji kama vile:
(a) Sulfonic Acid
(b) Slesi
(c) Soda ash
(d) Alca 2
____________________H2O
(e) Glyceline ya sabuni ya maji
(f) perfume za sabuni
(g) DMH (Durability)
(h) Rangi ya sabuni
(i) Chumvi (Heavyness)
_________________4 hrs
Pia kwa mtu anayefahamu vipimo halisi vya mchanganyiko huo aweke hapa kwa utengenezaji wa sabuni ndoo 20 litres
Na hii ni Kariakoo mkuu?Texas viko vingi tu mtaa wa Westend 107.
Ni vizuri ungeeleza sehemu ulipo Dar ni kubwa, ukipita Mbagala Rangitatu yapo maduka yanayouza, Tandika pia yapo, wewe unaishi wapi ili ujulishwe duka la karibu yako.Na hii ni Kariakoo mkuu?
Niko Mabibo mkuu,Ni vizuri ungeeleza sehemu ulipo Dar ni kubwa, ukipita Mbagala Rangitatu yapo maduka yanayouza, Tandika pia yapo, wewe unaishi wapi ili ujulishwe duka la karibu yako.
Nenda Ilala Boma utaelekezwa yapo maduka.Niko Mabibo mkuu,
kipenzi Mahondaw akiiona hii ataniacha mara moja. Alikuwa anadhani nakaa Masaki Samaki Samaki mle Oestabay