Aysenem Senior Member Joined Dec 19, 2019 Posts 140 Reaction score 171 Apr 22, 2020 #1 Nitahitaji kufungua duka la malighafi za sabuni mbali mbali. Je, nitapata wapi malighafi zake kwa Dar na Zanzibar? Naomba mnijuze
Nitahitaji kufungua duka la malighafi za sabuni mbali mbali. Je, nitapata wapi malighafi zake kwa Dar na Zanzibar? Naomba mnijuze
Abuu Abdurahman JF-Expert Member Joined May 9, 2017 Posts 1,448 Reaction score 1,790 Apr 23, 2020 #2 Ungefunguka mkuu ni malighafi zipi na zipi unazozitaka ata kama ungezilist ndio ingekua rahisi kusaidiwa.. Mana nijuavyo mimi kila sabuni ina malighafi yake inayotumika.. Funguka Sent using Jamii Forums mobile app
Ungefunguka mkuu ni malighafi zipi na zipi unazozitaka ata kama ungezilist ndio ingekua rahisi kusaidiwa.. Mana nijuavyo mimi kila sabuni ina malighafi yake inayotumika.. Funguka Sent using Jamii Forums mobile app
Dr. Zaganza JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 1,414 Reaction score 2,181 Apr 23, 2020 #3 Nenda gerezani Dsm, mtaa wa Somalia na Omari Londo, Kuna maduka mawili ya hizo malighafi