Wapi nitapata malighafi za sabuni?

Wapi nitapata malighafi za sabuni?

Aysenem

Senior Member
Joined
Dec 19, 2019
Posts
140
Reaction score
171
Nitahitaji kufungua duka la malighafi za sabuni mbali mbali.

Je, nitapata wapi malighafi zake kwa Dar na Zanzibar?

Naomba mnijuze
 
Ungefunguka mkuu ni malighafi zipi na zipi unazozitaka ata kama ungezilist ndio ingekua rahisi kusaidiwa.. Mana nijuavyo mimi kila sabuni ina malighafi yake inayotumika..

Funguka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda gerezani Dsm, mtaa wa Somalia na Omari Londo, Kuna maduka mawili ya hizo malighafi
 
Back
Top Bottom