homomorphism
Member
- Feb 12, 2017
- 66
- 63
Nina mtaji wa laki na nusu, naomba kujuzwa wapi wanauza mashuka ya mtumba kwa bei rahisi ninunue kwa lengo la kuja kuuza mtaani kwetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilala boma au nenda TandikaNina mtaji wa laki na nusu, naomba kujuzwa wapi wanauza mashuka ya mtumba kwa bei rahisi ninunue kwa lengo la kuja kuuza mtaani kwetu.
Bei zao vipi bro.Ilala boma au nenda Tandika
12 n.kBei zao vipi bro.
Apo Tandika sokoni Mashuka ni muda wote au natakiwa kudamka allfajili. Pia vip kuhusu bei zao maana lengo ni kununua na kwenda kuuza.Tandika sokoni.
Kuhusu ratiba sahihi na muda sina hakika ila ukifika pale asubuhi ni vyema kama utakuwa na nia kubwa ya kutaka kujua, at least saa 1 au 2 sio mbaya. Utakuta mnada wa mashuka na bed covers za kutosha. Na bei last time nilikuta ni 4k,6k na 8k.. zinacheza kulingana na ubora wa shuka na size. Nikutoe hofu Tu ndugu pale mashuka ni bei rahisi na ni mazuri Sana na pia pengine hata yasifike hiyo 8k ila ni vyema ukabeba pesa yakutosha ili upate mziko mwingi na mzuri.Apo Tandika sokoni Mashuka ni muda wote au natakiwa kudamka allfajili. Pia vip kuhusu bei zao maana lengo ni kununua na kwenda kuuza.
Shuklan sana kiongozi.Nimejaribu kuuliza zaidi nimejuzwa kuwa mnada unafanyika siku za wiki mida ya saa 3 asubuhi na mara chache saa 4. Kuhusu location na mengine nliyoeleza hapo juu yanabaki the same.🤝
TandikaNina mtaji wa laki na nusu, naomba kujuzwa wapi wanauza mashuka ya mtumba kwa bei rahisi ninunue kwa lengo la kuja kuuza mtaani kwetu.
Kama unauza jifunze na wewe kununua anaponunua muuzaji, huyo wa Tandika kuna sehemu ananunua Belo na yeye anakuja kumwaga anakuuzia wewe.Nina mtaji wa laki na nusu, naomba kujuzwa wapi wanauza mashuka ya mtumba kwa bei rahisi ninunue kwa lengo la kuja kuuza mtaani kwetu.