Wapi nitapata materials za kutengeneza madaftari?

Wapi nitapata materials za kutengeneza madaftari?

Joined
Mar 10, 2018
Posts
23
Reaction score
13
Assalam alaykum viongozi

Nahitaji kupata uelewa kuhusu biashara ya kutengeneza madaftari, counter books na yale ya kawaida. pls yeyote mwenye uelewa kuhusu biashara hii njoo unipe tips. Pia materials yake yanapopatikana. Namaanisha karatasi , covers zake na vitu kama hivyo.

Ukweli ni kwamba nimeiona hii ni fursa so plsssss
 
Back
Top Bottom