Wapi nitapata matibabu ya tonsils sugu?

Aisee why umtakie mwenzio balaa kiasi hicho? Yàan badala ya kumpa pole wewe ndio unamuongezea stress?? Dah!
Inaweza kuwa sababu, unajua hata ukimla mate mpenzi wako na kinywa chake kimesheheni bacteria wabaya wewe nae utapata infections kama yeye.
 
Inaweza kuwa sababu, unajua hata ukimla mate mpenzi wako na kinywa chake kimesheheni bacteria wabaya wewe nae utapata infections kama yeye.
Dah! Umeshauri mambo ya msingi sana juu ya ugonjwa huu. Wengi tunakumbuka na hili tatizo. Kuhusu maji ya moto mimi mwenyewe naona yananisaidia tangu nianze kunywa, kuna mahali nilisoma ila wao walisema unakunywa tu bila kuweka chochote, ila naona wewe umeongezea na kuweka chumvi kidogo,,, safi sana naamini wengi watanufaika na ushauri wako
 
Safi sana
 
Baada Ya Mtaalam Mbobezi Mzizi Kuingia Hapo Nasema Tu Thread Closed From Now Onwards
 
Tumia kusukutulia. Yaani unaweka chumvi kwaajiri ya kusukutua eneo la koo bila kumeza. Ukinywa maji ya chumvi utakuwa dehydrated na unaweza raise pressure yako kama unashida ya pressure kupanda.
 
Haishauriwi kutoa hizo kitu sababu zinafanya kazi yake. Kutoa tonsils ni sawa na kutoa thermostat kwenye gari ili isikupe taarifa juu ya jotoridi la gari eneo la engine.
Mkuu embu nipe ushauri wanangu wawili wanasumbuliwa na hichi kitu, walikuwa wanaishi eneo ambalo walikuwa wanatumia maji ya kisima, nikahisi huenda ikawa hiyo ndo sababu maana watoto wengi pia walikuwa wamevimba.

Najifikiria kuwafanyia operation ila moyo unasita, nahisi kwamba ni ugonjwa unaweza kupona wenyewe bila operation.

Ila ningeomba ushauri zaidi, ikiwa itabidi operation ihusike sitakuwa na namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…