Naomba kujuzwa ni wapi nitapata Mercedes-Benz G63 ya mwaka 2020 iwe used kidogo, sina hela ila naulizia bei tu ili kuushtua UMASIKINI nilionao na pia naomba kujua;
> Sifa za hiyo chuma
> Bei yake
> Kwa nini bei ni kubwa
Andaa kwa uchache million 600 mkuu. Chuma hio si mchezo 13ltr tu unapiga dar- chalinze na ukijaza full tank dar-mwaza huingii shell tena hadi unaingia Sukuma city. The most amazing ni usalama wake maana hata ipige mzinga vipi ikipinduka miguu juu ujue kuna mkono wa mtu.