Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Mkuu wewe una imani walau kiasi? Jibu kwanza hapa...Wengine unawapa, mimi haunipi, una roho mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe una imani walau kiasi? Jibu kwanza hapa...Wengine unawapa, mimi haunipi, una roho mbaya
Pole sana, upo mkoa gani, Kuna mtumbatu ntakutumia namba yake PM
Mkuu naomba contact zake. Please ni-PM na mimiPole sana, upo mkoa gani, Kuna mtumbatu ntakutumia namba yake PM
Na mMkuu naomba contact zake. Please ni-PM na mimi....
no pm na mimi pleasePole sana, upo mkoa gani, Kuna mtumbatu ntakutumia namba yake PM
Kamvunjie chungu cha kiarusha/kimeru watakuwa wanazika kila wiki mpaka arudishe mali au aseme zilipo.
Btw, uuaji ni dhambi
aah, rahisi tu! aliyeumba vyote vinavyoonekana na visivyoonekanaNina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Mkuu njoo inbox.Wengine unawapa, mimi haunipi, una roho mbaya
Kuna kipindi nilikuwa Kilwa, Lindi, mzee mmoja alikuwa muuza samaki walikaushwa. Anawanunua matenga kwa matenga halafu anapeleka huko bara (yaani Newala, Liwale etc). Akinunua samaki anawapaki kwenye matenga makubwa sana, then anayaacha stendi anaenda zake home mpaka akipata usafiri anasafirisha. Kwa kuwa wenyeji wanamjua kwamba ni moto wa kuotea mbali, hakuna anayegusa matenga yake miaka yote, hata yakikaa stendi wiki nzima. Sasa bwana wakatokea vibaka 4 wamekimbia mkono wa sheria huko Dar wakaja kujificha Kilwa (mmoja wao huko ni kwa ndugu zake, ingawa anakuja mara moja moja). Si wakaona matenga ya mzee pale stend, wakapanga kuyaiba, wenyeji wakawaonya kwamba wasijaribu maana watajuta, hawakusikia. Usiku wakayaiba yale matenga na kwenda kuyauza Mtwara. Mzee alipogundua akatafuta kijana na kipaza sauti kuutangazia umma kuwa amepotelewa na matenga yake ya samaki na anaomba aliyeyaona amjulishe au aliyeyaazima amrudishie. Lile tangazo liliendelea kwa muda wa siku saba, na siku ya saba mzee akatangaza kwamba anaenda kumlilia Mungu. Aisee siku ya nane kibaka wa kwanza kilianza kuuma kichwa vibaya, then damu kutoka puani na masikioni na ndani ya saa moja kwisha habari,akazikwa. Ndani ya mwezi mmoja walidondoka wale vibaka wote, na wote staili ya kufa ni moja, kichwa kuuma sana na damu kutoka.Hakuna ndumba za kumfanya mdeni akulipe! Sana sana unatoa onyo na muda..
Muda ukipita dondosha mmoja halafu wengine wapate taarifa
Uyo mzee kiboko kabisa, hafai ata kumsogelea karibuKuna kipindi nilikuwa Kilwa, Lindi, mzee mmoja alikuwa muuza samaki walikaushwa. Anawanunua matenga kwa matenga halafu anapeleka huko bara (yaani Newala, Liwale etc). Akinunua samaki anawapaki kwenye matenga makubwa sana, then anayaacha stendi anaenda zake home mpaka akipata usafiri anasafirisha. Kwa kuwa wenyeji wanamjua kwamba ni moto wa kuotea mbali, hakuna anayegusa matenga yake miaka yote, hata yakikaa stendi wiki nzima. Sasa bwana wakatokea vibaka 4 wamekimbia mkono wa sheria huko Dar wakaja kujificha Kilwa (mmoja wao huko ni kwa ndugu zake, ingawa anakuja mara moja moja). Si wakaona matenga ya mzee pale stend, wakapanga kuyaiba, wenyeji wakawaonya kwamba wasijaribu maana watajuta, hawakusikia. Usiku wakayaiba yale matenga na kwenda kuyauza Mtwara. Mzee alipogundua akatafuta kijana na kipaza sauti kuutangazia umma kuwa amepotelewa na matenga yake ya samaki na anaomba aliyeyaona amjulishe au aliyeyaazima amrudishie. Lile tangazo liliendelea kwa muda wa siku saba, na siku ya saba mzee akatangaza kwamba anaenda kumlilia Mungu. Aisee siku ya nane kibaka wa kwanza kilianza kuuma kichwa vibaya, then damu kutoka puani na masikioni na ndani ya saa moja kwisha habari,akazikwa. Ndani ya mwezi mmoja walidondoka wale vibaka wote, na wote staili ya kufa ni moja, kichwa kuuma sana na damu kutoka.
Mleta mda chukua muongozo kwa Mshana JrNakuomba tafadhali fafanua aina ya tatizo uweze kusaidika kwa wepesi.. Waganga wana fani tofauti
Kuna ambao fani yao ni mahusiano tu
Kuna ambao fani yao ni madeni tu.
Kuna ambao fani yao ni kuua na kuharibu tuu nknk
Nimeeka haya maelekezo kwa kumsaidia mtoa mada na wala sifanyi biashara wala kumpigia mganga yeyote promo, naomba muhusika kama atafanikiwa kwenda huko aje alete mrejesho na awape na wengine kwa faida yao, nitabeba dhambi moja, dhambi zingine jibebesheni wenyewe kwa wenyewe.Kama uko serious tafuta usafiri wa toka hapo ulipo uende mpaka simiyu(bariadi mjini),kama utakua unatokea upande wa mwanza utashuka stendi ya somanda ama bariadi mjini, utapanda boda mpaka lugulu kwa buku tano na kama unatokea shinyanga utawaambia wakushushe lugulu. Baada ya hapo kuna kama vijiji viwili sijavishika jina(kama uko serious)utanifata PM nitakupatia namba za wenyeji watakaokupokea na kukupeleka eneo husika..
Mtaalam sio mzee ni kijana mwenye weledi na hataki pesa yako zaidi ya elfu mbili(2000)kabla ya kukuganga.malipo yake ni ahadi tu baada ya kufanikiwa utarudi kutoa shukrani.
Mkuu mambo unayotaka kuyajaribu uwe na moyo.
Anataka ajaribu na kwa mwingine, huenda akafanikiwa.Yesu ni mganga mzuri kuliko vigagula vyote
Nimekupm ndugu haujanijibKama uko serious tafuta usafiri wa toka hapo ulipo uende mpaka simiyu(bariadi mjini),kama utakua unatokea upande wa mwanza utashuka stendi ya somanda ama bariadi mjini, utapanda boda mpaka lugulu kwa buku tano na kama unatokea shinyanga utawaambia wakushushe lugulu. Baada ya hapo kuna kama vijiji viwili sijavishika jina(kama uko serious)utanifata PM nitakupatia namba za wenyeji watakaokupokea na kukupeleka eneo husika..
Mtaalam sio mzee ni kijana mwenye weledi na hataki pesa yako zaidi ya elfu mbili(2000)kabla ya kukuganga.malipo yake ni ahadi tu baada ya kufanikiwa utarudi kutoa shukrani.
Mkuu mambo unayotaka kuyajaribu uwe na moyo.
nenda LumSalaam wana JF,
Naandika kwa hasira na kwa uchungu sana juu ya walichonifanyia wezi. Wamenitia hasara kubwa sana inayoenda kugharimu maisha yangu. Najua wapo watakaonishauri nimwachie Mungu, lakini pamoja na hayo, lazima nianzie ngazi za chini kabla ya kulifikisha kwa Mungu. Kwa anayemjua mtaalam mzuri wa kweli na ambaye pengine mwenye ushuhuda wa kazi yake, naomba anisaidie tafadhali.
Inauma sana.
Mkuu pole sana, ila nashauri kidogo vuta pumzi na kuziachia nyingi mawazo ya kuibiwa yanakuja na hasira unafikilia mambo mengi ila zikipoa utajishangaa ata wewe🙏Salaam wana JF,
Naandika kwa hasira na kwa uchungu sana juu ya walichonifanyia wezi. Wamenitia hasara kubwa sana inayoenda kugharimu maisha yangu. Najua wapo watakaonishauri nimwachie Mungu, lakini pamoja na hayo, lazima nianzie ngazi za chini kabla ya kulifikisha kwa Mungu. Kwa anayemjua mtaalam mzuri wa kweli na ambaye pengine mwenye ushuhuda wa kazi yake, naomba anisaidie tafadhali.
Inauma sana.
Consult Dk. Khamis Kigangwala he's better on it and very Competent too.Salaam wana JF,
Naandika kwa hasira na kwa uchungu sana juu ya walichonifanyia wezi. Wamenitia hasara kubwa sana inayoenda kugharimu maisha yangu. Najua wapo watakaonishauri nimwachie Mungu, lakini pamoja na hayo, lazima nianzie ngazi za chini kabla ya kulifikisha kwa Mungu. Kwa anayemjua mtaalam mzuri wa kweli na ambaye pengine mwenye ushuhuda wa kazi yake, naomba anisaidie tafadhali.
Inauma sana.