Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Njoo Dm
 
Nakuomba tafadhali fafanua aina ya tatizo uweze kusaidika kwa wepesi.. Waganga wana fani tofauti
Kuna ambao fani yao ni mahusiano tu
Kuna ambao fani yao ni madeni tu.
Kuna ambao fani yao ni kuua na kuharibu tuu nknk
mawasiliano yako broo plz.
 
Kijiji cha mwisho kufika muheza ni kibanda,mganga anakaa wapi pale?
 
Nakuomba tafadhali fafanua aina ya tatizo uweze kusaidika kwa wepesi.. Waganga wana fani tofauti
Kuna ambao fani yao ni mahusiano tu
Kuna ambao fani yao ni madeni tu.
Kuna ambao fani yao ni kuua na kuharibu tuu nknk
 
Wasukuma ni matajiri here toka lini huku Dae ndo wachota maji zenji wabeba mizigo.na huwa wanatembea kishamba wepesi kuwatapeli na wanavaa Mangum feki
 
Mkuu naomba ni pm namba yako
 
Nitumie namba zako mkuu, serious
 
Nicheki mkuu
 
Waganga asilimia 80 ni wa uongo ssbabu tukimpata wa kweli tunaogopa kumexpose ikimfikia namba adui yako umekwisha.pia kwa uzoefu mganga huwa mnakuja gombana akitaka toa siri za kambi anajikuta hana uliemtambulisha .

Nakushauri katafute mganga mwenyewe acha kuomba sijui namba za simu .mfano mm natoa ramani ya bure hii.

1.kibondo vijijini .ww ukifika usiulize watu mganga yuko wapi nyoosha kijijini kisha usiseme umefata nini siku 2 ukihoji mabodaboda utawapata
2.nenda hadi kigoma mjini .usiulize mtu nenda panda boti bandar inaitwa kibirizi wambie wakuache kijiji kiko ziwani kinaitwa kalya hapo usikurupuke nenda kwenye vibaa vyao wasome watu mwenyewe tafuta mzee mstaarabu mueleze .
Baaada ya kuwapata hao sasa ndo watakuwa wanakuhudumia kwa simu na kukutumia madawa pia nakushauri usitoe namba kwa watu wa karibu yako kama ambavyo mm hata unihonge kariakoo na posta sitoi wangu.
Nb : usije jisumbua inbox sijibu mimi sio tapeli niulize nkujibu hapa hapa
 

Naomba namba ya mganga wako kaka,nitashukuru sana[emoji120]
 
Ukienda bila ramani na uulize kila mtu hasa Kwa kigoma umeisha,watu wa kigoma kila umuonaye ni wakala wa mganga fulani,hii naongea ilishanikuta kasulu Kijiji cha kasesa ambapo nilifika na kuulizia boda mmoja ambaye nilimuona ametulia.

Alinitoa hapo lusesa kwenda Kijiji kingine ndanindani,akikonipeleka sasa yaani nilitoa Hela na sikuona maajabu yoyote zaidi ya mikosi tu.

Mikosi kiaje?

Kwanza demu wangu alinikataaa baada tu ya kutoka huko...pili nilichukiwa Sana na watu kiasi hii iliniletea ugomvi Sana.

Kwahy waganga wa kigoma wengi ni matapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ