Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
In U. K We use this spray as anti evil, £9 Only! Wazee wa upako wanaweka tone tu kwenye maji ya upako!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,salama??Toa ramani mkuu
Njoo inboxNina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Hapana ,naona kimiyaMkuu,salama??
Huku ulipata ramani au ndugu yetu alikuwa muhuni tu?
Wakubwa anaye jua mzizi wa kumpata kila mwanamke unaye mtaka tupeane maelekezo basiKaribu sana mkuu huku Kwa Msisi Tanga! Mimi ni Mganga Bingwa wa masuala ya mahusiano!! 🥵
Kumvuta mpenzi aliye mbali, kukubaliwa kirahisi tu bila kutongoza/kutongozwa, dawa ya kuoa/kuolewa na tajiri, kupata mwanaume mwenye mvuto na mwanamke pisi kali, nk!!
Hawa wezi wa kuku, mbuzi na kondoo hawafai kabisa. Wanatakiwa wanyooshweWasaalam wanabodi.
Bila kupoteza muda, niombe niende kwenye mada husika. Kuna eneo flan nilinunua sehemu ila baadae baadhi ya wakazi wakaanza kuhujumu badhi ya shughuli zangu katika hilo eneo hilo, hasa mifugo iliyopo.
Kila mara ni wizi wa kuku au mbuzi na naona hili wamelizoea. Ili kukomesha kabisa tabia hizi za wizi, niombe mtu anayejua mganga nguli hasa kati ya mikoa ya Dodoma au Moro tuchekiane inbox.
Hili ni serious na ninalileta nikijua kuna vituo vya polisi. Nitashukuru kwa kupewa link ya huyo mtaalamu.
hahaWakubwa anaye jua mzizi wa kumpata kila mwanamke unaye mtaka tupeane maelekezo basi
Njoo simiyu wilaya ya maswa kila kitu kitakuwa historia.Habari ndugu zangu
Binafsi ninashida mwaka wa tatu huu sijapata suruhisho ... kila nachokifanya kiwe kikubwa ama kidogo hakitakwenda sawa lazima kiharibike au kuishia njian, kiufupi nimepigwa kiuchumi... kiukweli nateseka sana , naitaji mtu ambaye atakuwa na ushuhuda mzuri wa mganga ambaye niwakweli na asiye na utapeli wala tamaa.. nipo tayari kusafiri popote iwapo tapata mtu sahihi wakutoa tiba.
Naitaj mganga atakayeweza kunambia shida zangu kwanza yani kusoma ramri na kunambia picha ambayo ipo inaendelea ktk uwanja wa kiroho nisivyovijua , siitaji mganga atakayeniuliza tatizo langu mimi maana huyo atakuwa doctor hospitalini.
Mganga atakayeweza kufuta mikosi na nuksi na vifungo na kutoa kinga , yani mtu ukitaka kukuroga akikuangalia kwenye ramani hakuoni onenekana umekufa .. nimechoka kurudishwa nyumba na muda unaenda na tunategemewa na watoto na wake zetu tafadhali siitaji wakala wa mganga hapa.. naitaji mtu ambaye kaisha saidika na anashuhuda tafadhali naombeni mnisaidie
Binafsi Napatikana , Dar es salaam, Kigoma na Mwanza kote uko ni nyumbani .. naomba msaada na connection za wataaramu wanaojua kazi na sio matapeli .. nateseka sana ndugu yenu ... ni mwaka watatu sasa sioni faida ya utu wang, nateseka sana.. naombeni msaada wenu ndugu zangu wa JF ambao mrishasaidika ..
Mkuu mimi kuna mtu amenivuruga amechana mbao zangu shamba zima na ndie alieniuzia,duuu nataka alipe haraka nianzishe shamav jingeni safari ya maisha siyo poa kabisaNakuomba tafadhali fafanua aina ya tatizo uweze kusaidika kwa wepesi.. Waganga wana fani tofauti
Kuna ambao fani yao ni mahusiano tu
Kuna ambao fani yao ni madeni tu.
Kuna ambao fani yao ni kuua na kuharibu tuu nknk
Mkuu umeona reply yangu inbox umenipiga banNakuomba tafadhali fafanua aina ya tatizo uweze kusaidika kwa wepesi.. Waganga wana fani tofauti
Kuna ambao fani yao ni mahusiano tu
Kuna ambao fani yao ni madeni tu.
Kuna ambao fani yao ni kuua na kuharibu tuu nknk
Naweza kuja pm unipe maelekezo vizur ndugu yanguNjoo simiyu wilaya ya maswa kila kitu kitakuwa historia.
Sasa Wewe kwenu Kigoma alafu unahangaika hivyo? Nenda Ujiji kule Waganga kibaoHabari ndugu zangu
Binafsi ninashida mwaka wa tatu huu sijapata suruhisho ... kila nachokifanya kiwe kikubwa ama kidogo hakitakwenda sawa lazima kiharibike au kuishia njian, kiufupi nimepigwa kiuchumi... kiukweli nateseka sana , naitaji mtu ambaye atakuwa na ushuhuda mzuri wa mganga ambaye niwakweli na asiye na utapeli wala tamaa.. nipo tayari kusafiri popote iwapo tapata mtu sahihi wakutoa tiba.
Naitaj mganga atakayeweza kunambia shida zangu kwanza yani kusoma ramri na kunambia picha ambayo ipo inaendelea ktk uwanja wa kiroho nisivyovijua , siitaji mganga atakayeniuliza tatizo langu mimi maana huyo atakuwa doctor hospitalini.
Mganga atakayeweza kufuta mikosi na nuksi na vifungo na kutoa kinga , yani mtu ukitaka kukuroga akikuangalia kwenye ramani hakuoni onenekana umekufa .. nimechoka kurudishwa nyumba na muda unaenda na tunategemewa na watoto na wake zetu tafadhali siitaji wakala wa mganga hapa.. naitaji mtu ambaye kaisha saidika na anashuhuda tafadhali naombeni mnisaidie
Binafsi Napatikana , Dar es salaam, Kigoma na Mwanza kote uko ni nyumbani .. naomba msaada na connection za wataaramu wanaojua kazi na sio matapeli .. nateseka sana ndugu yenu ... ni mwaka watatu sasa sioni faida ya utu wang, nateseka sana.. naombeni msaada wenu ndugu zangu wa JF ambao mrishasaidika ..
Haya mambo yaache kabisa sio ya kucheka mtu apatakapo shida ukiona mtu analishwa nyoka au nyeshwa mafuta ya taa na wachungaji biashara usimcheke.
Sikuwahi amini wala kuwahi kwenda kwa mganga,mapenzi yalinipeleka aisee nikaliwa 4 milioni na binti sikumpata akaolewa na jamaa aliyenipora kupitia ndumba.
Toka siku hio mganga wa matatizo yangu ni Mimi mwenyewe.
Hivi nyie mnaotafutaga waganga wa kweli na mnawakosa ni kweli huwa mnawatafuta au mnatuigizia..?Habari ndugu zangu
Binafsi ninashida mwaka wa tatu huu sijapata suruhisho ... kila nachokifanya kiwe kikubwa ama kidogo hakitakwenda sawa lazima kiharibike au kuishia njian, kiufupi nimepigwa kiuchumi... kiukweli nateseka sana , naitaji mtu ambaye atakuwa na ushuhuda mzuri wa mganga ambaye niwakweli na asiye na utapeli wala tamaa.. nipo tayari kusafiri popote iwapo tapata mtu sahihi wakutoa tiba.
Naitaj mganga atakayeweza kunambia shida zangu kwanza yani kusoma ramri na kunambia picha ambayo ipo inaendelea ktk uwanja wa kiroho nisivyovijua , siitaji mganga atakayeniuliza tatizo langu mimi maana huyo atakuwa doctor hospitalini.
Mganga atakayeweza kufuta mikosi na nuksi na vifungo na kutoa kinga , yani mtu ukitaka kukuroga akikuangalia kwenye ramani hakuoni onenekana umekufa .. nimechoka kurudishwa nyumba na muda unaenda na tunategemewa na watoto na wake zetu tafadhali siitaji wakala wa mganga hapa.. naitaji mtu ambaye kaisha saidika na anashuhuda tafadhali naombeni mnisaidie
Binafsi Napatikana , Dar es salaam, Kigoma na Mwanza kote uko ni nyumbani .. naomba msaada na connection za wataaramu wanaojua kazi na sio matapeli .. nateseka sana ndugu yenu ... ni mwaka watatu sasa sioni faida ya utu wang, nateseka sana.. naombeni msaada wenu ndugu zangu wa JF ambao mrishasaidika ..
Unataka wa mkoa gani, me nikupe namba..? HahahaNina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Kuna ambao fani zao ni kesi tu. Hawa ndo huwa kiboko.Nakuomba tafadhali fafanua aina ya tatizo uweze kusaidika kwa wepesi.. Waganga wana fani tofauti
Kuna ambao fani yao ni mahusiano tu
Kuna ambao fani yao ni madeni tu.
Kuna ambao fani yao ni kuua na kuharibu tuu nknk
Madhara ya balehe yamechachamaa. Mpaka balehe ikomae utakuwa umeteseka kisakolojiaKuna huyo wa huku kwetu igumbalalasi we hana namba huyo
Cha kufanya unachukua gunzi alafu unalisokomeza hapo kwenye exhaust yako alafu unatafuta tango zuri afu unaliweka mdomoni. Mwisho unamalizia na kujifunika shuka kwenye kichwa tu basi
Usisahau chandarua afu usizime taaa
Fanya hivo leo utakuja kunishukuru maana huyo mjamaa ni kiboko