Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Nendeni kanisani au msikitini katoeni fungu lakumi hata kama ni dogo omba omba kwa Mungu atakupa mali uzitakazo utakuwa kama dangote na zaidi sasa hutoi unategemea upate nini??
Kwa Mungu kama humtolei dhabihu
Wewe unamiliki nini zaidi ya viatu ulivyovaa na nguo zako? Tusipangiane maisha acha kila mtu afanye analoona linafaa kwake.
 
Wewe unamiliki nini zaidi ya viatu ulivyovaa na nguo zako? Tusipangiane maisha acha kila mtu afanye analoona linafaa kwake.
Huyo hayupo tena JF analea mimba sasa kutoka humu humu JF
 
Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Yesu ndio mganga anayetibu bure, yupo hapo ulipo.
Yesu anasema, Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.

Yesu uganga wake una masharti:-
1. Unywe damu yake.
2. Ule mwili wake.
 
MImi nawafahamu kadhaa
1.Kwa ajili ya matibabu?
2.Kwa ajili ya mafanikio na kinga?
3.JE? kuna mtu kakufanyia ubaya?....labda unataka kulipiza kisasi?.....lakini hapa uwe na uhakika manake kombora likitumwa kama mtu hana ubaya na wewe linarudi kwako.
 
Mbona ukiumwa kipindupindu au UTI humwombi Yesu akuponye unakwenda hospitali cha unafiki.
 
Anataka amtumie kifurushi cha nyuki
 
Jaribu kusali novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia😁
 
Mbona ukiumwa kipindupindu au UTI humwombi Yesu akuponye unakwenda hospitali cha unafiki.
Ninamuomba Yesu na ninapona, wewe endelea kumuomba Mariamu , mke wa Yosefu ambaye alimzaa Yesu na badae alizaa watoto wengine ambao mpaka leo mnamuita BIKRA wakati alishatolewa bikra .

Yule pepo mchafu akawajibu, akawaambia, Yesu namjua na Paulo namfahamu, lakini ninyi ni nani?
 
Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Michungwani tanga,njia panda ya kwenda kwa kigoda.
Pembeni hapo yuko mtaaluma.
Ukinogewa urudi kwenu.
Bei yake kuku tu karanga,vingine peleka ukifanikiwa.
 
Niambie inakuaje Mama la mama
NOVENA YA MT RITA WA KASHIA YA SAA 15
MAALUM KATIKA SHIDA KUBWA
SAA LA KUMI NA MBILI
( SAA 9 USIKU)
(Sali Novena hii kila saa. Hadi ufikishe saa zote 15 bila kukatisha . Saa 15 za Novena hii hukumbuka miaka 15 ambayo Mt Rita aliishi na kidonda Katika Paji la uso wake Hadi kifo chake mwaka 1457)
Ee Mungu chemichemi, huruma na msamaha ulimteua Mtumishi wako Rita wa Kashia ili awe mwombezi wa wote walio katika mahangaiko MAKUBWA.
Nakuomba kwa maombezi yake yenye nguvu, neema ya kuondokana na shida hii KUBWA

( hapa taja shida yako )

Bila maombezi yako Ee Mt Rita, siwezi kujinasua na shida hii KUBWA. Nakusihi uniombee kwa machozi yasiyokoma mbele ya Altare ya Mungu huko Mbinguni
Mungu hakukatalii wewe kitu chochote kwani wewe ni Mtakatifu na mwombezi wa yote yaliyoshindikana kwa akili za kibinadamu. Kwa njia ya Kristo Bwana wetu.
Amina.
Baba yetu x 3
Salamu Maria x 3
Atukuzwe x 3
LITANIA KWA MTAKATIFU RITHA WA KASHIA
-------------------
Bwana Utuhurumie,
Kristo Utuhurumie,
Bwana Utuhurumie,
-----------------------------------
Kiitikio *"Utuhurumie"
Baba wa Mbinguni, Mungu,
Mwana Mkombozi wa Dunia,Mungu,
Roho Mtakatifu, Mungu,
Utatu Mtakatifu, Mungu Mmoja,
-------------------
Kiitikio “Utuombee"*
Maria Imakulata Mama wa Mungu
Maria, Mama mfariji wa wanaoteseka
Maria, Malkia wa Watakatifu wote
Maria, Mwombezi mpenzi wa Mt Rita
-------------------
Kiitikio “Utuombee"*
Mt Rita, Zawadi toka Mbinguni:
Mt Rita, Mwombezi wetu mwenye nguvu:
Mt Rita, uliyejaliwa Utukufu:
Mt Rita, mstaajabiwa tangu utoto wako:
Mt Rita, mpenda upweke:
Mt Rita, Kielelezo cha usafi wa moyo:
Mt Rita, kielelezo cha upole wote:
Mt Rita, kielelezo cha mke mwema:
Mt Rita, kielelezo bora cha mama mtaratibu:
Mt Rita, kielelezo cha msamaha wa kweli:
Mt Rita, kielelezo hai cha kujikatalia:
Mt Rita, kioo cha maisha ya kitawa:
Mt Rita, kioo cha utii;
Mt Rita, mvumilivu wa kustajabiwa;
Mt Rita, shujaa wa kujitoa sadaka;
Mt Rita, shahidi katika kufanya toba
Mt Rita, mjane mtakatifu;
Mt Rita, mkarimu kwa masikini;
Mt Rita, mkarimu kwa masikini;
Mt Rita, mkereketwa wa kuitikia wito mtakatifu;
Mt Rita, aliyeingizwa utawani kimuujiza;
Mt Rita, harufu nzuri ya manemane;
Mt Rita, bustani ya kila fadhila;
Mt Rita, mpendezwa na Yesu Msulubiwa;
Mt Rita, uliyechomwa na mwiba kwenye paji la uso;
Mt Rita, binti mpendevu wa Bikira Maria;
Mt Rita, mwenye kiu ya upendo wa Kimungu;
Mt Rita, uliyevikwa utukufu;
Mt Rita, lulu ya mbinguni;
Mt Rita, utukufu wa shirika la Mt Augustino;
Mt Rita, tunu ya thamani ya Umbria;
Mt Rita, mwenye nguvu za utakatifu;
Mt Rita, msamaha wa wanaopata mahangaiko;
Mt Rita, mfariji wa wanaoteseka;
Mt Rita, nanga ya wokovu;
Mt Rita, mwombezi wa wagonjwa;
Mt Rita, mwombezi wa mambo yaliyoshindikana;
Mt Rita, kimbilio la walio hatarini;
Mt Rita, msaada wenye nguvu kwa wote;
Mt Rita, mastaajabio ya ulimwengu;
Mt Rita, uliyepokewa mbinguni kwa furaha;
-------------------
Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi za dunia, "Utusamehe Bwana"
Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi za dunia, "Utusikilize Bwana"
Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi za dunia "Utuhurumie"
-------------------
K: Umemtia alama Ee Bwana mtumishi wako Rita
W: Kwa mhuli wa upendo na mateso
TUOMBE:
Ee Mungu , ambaye katika wema wako wa daima, umependa kusikiliza maombezi ya mtumishi wako Rita. Utujalie kupitia maombezi yake, yale ambayo yameshindikana kwa nguvu za kibinadamu. Utuhurumie sisi tunaoteseka, uwasaidie wote wasiokuamini wajue kuwa wewe ni tuzo la wanyenyekevu, mfariji wa wote wenye hofu, na nguvu ya wanyonge. Tunaomba hayo kwa njia ya Kristu Bwana wetu. Amina

Kila baada ya kusali novena ya kila saa , tunasali litania hii kwa saa zote 15
 
Mkuu nitumie namba yako ya Whatsapp PM
 
Hakuna cha imani, ni mganga full.

Mtu kamkuta Kipofu, asiyeona tangu kuzaliwa, akachukua udongo, akaupaka mate, akampaka jamaa machoni jamaa akaona, huo si uganga?
Ref. Imani yako ndiyo iliyokuponya......
 
Back
Top Bottom