Wapi nitapata mkopo huu

Wapi nitapata mkopo huu

newbeliever

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
248
Reaction score
48
Nina dhamana ya nyumba na duka viko mkoani,ila Mimi naishi Dar es salaam.ninaweza kupata wapi mkopo wa milioni 20? Nahitaji kukopa ili nipanue biashara yangu.sitaki kukopa CRDB au NMB kwa sababu ninayo mikopo huko japo nimebakiza miezi miwili nimalize hayo marejesho.Nataka niachane nao nibaki na mmoja tu. Naomba kufahamu tafadhari
 
Mmmh asee mkopo wako ni mkubwa sana kaka so labda barclays nazan wako vizuri tu
 
Nina dhamana ya nyumba na duka viko mkoani,ila Mimi naishi Dar es salaam.ninaweza kupata wapi mkopo wa milioni 20? Nahitaji kukopa ili nipanue biashara yangu.sitaki kukopa CRDB au NMB kwa sababu ninayo mikopo huko japo nimebakiza miezi miwili nimalize hayo marejesho.Nataka niachane nao nibaki na mmoja tu. Naomba kufahamu tafadhari
Subir Benki hivi karibuni zinashusha Riba. Baada ya Hapo Chagua benki Kwa riba itakayo kuvutia.
 
Nina dhamana ya nyumba na duka viko mkoani,ila Mimi naishi Dar es salaam.ninaweza kupata wapi mkopo wa milioni 20? Nahitaji kukopa ili nipanue biashara yangu.sitaki kukopa CRDB au NMB kwa sababu ninayo mikopo huko japo nimebakiza miezi miwili nimalize hayo marejesho.Nataka niachane nao nibaki na mmoja tu. Naomba kufahamu tafadhari
Hilo duka lako linauza bidhaa gani? na hilo duka cash flow yake ipoje. Naomba unaponijibu attach na Benking statement yako, kama huwa uanapeleka pesa bank, kama hupeleki benk unatumia ,miamala ya simu, basi niletee cashflow statement yake. Baada ya hapo. Nitakupa mkopo. Lengo langu siyo kudhurumu, nyumba yako pale utakaposhindwa kulipa, lengo langu ni kupata uhakika wa biashara yako, kama nitakapoongeza mtaji , utakuwa na uwezo wa kulipa. Mkopo wangu una riba ya asilimia 2 kwa mwezi . na unatakiwa ulipe ndani ya miezi sita. nikikukopesha . kam UKO tAYARI ni PM.
 
NimekuPM Mkuu
 
Kwa ushauri tu;
Huo mkopo wa kurudisha ndani ya miezi sita, ina maana uwe na uwezo wa kufanya marejesho ya shs Milioni 4 kila mwezi??
Kama huna uwezo huo, nakushauri uache mara moja labda kama unataka kuuza nyumba yako na duka kwa Milioni 20???
Tofauti na hapo; subiri miezi mawili huo mkopo uishe bank halafu uchukue tena!!
 
Mikopo kwa mtu binafsi ni labda kama upo kwenye hali ya hatari sana kwamba ni lazima upate ama? otherwise ningeshauri tu pambana na mabenki.
 
Kwa ushauri tu;
Huo mkopo wa kurudisha ndani ya miezi sita, ina maana uwe na uwezo wa kufanya marejesho ya shs Milioni 4 kila mwezi??
Kama huna uwezo huo, nakushauri uache mara moja labda kama unataka kuuza nyumba yako na duka kwa Milioni 20???
Tofauti na hapo; subiri miezi mawili huo mkopo uishe bank halafu uchukue tena!!
Miezi sita ni ngumu Mkuu, labda mwaka na nusu
 
Hilo duka lako linauza bidhaa gani? na hilo duka cash flow yake ipoje. Naomba unaponijibu attach na Benking statement yako, kama huwa uanapeleka pesa bank, kama hupeleki benk unatumia ,miamala ya simu, basi niletee cashflow statement yake. Baada ya hapo. Nitakupa mkopo. Lengo langu siyo kudhurumu, nyumba yako pale utakaposhindwa kulipa, lengo langu ni kupata uhakika wa biashara yako, kama nitakapoongeza mtaji , utakuwa na uwezo wa kulipa. Mkopo wangu una riba ya asilimia 2 kwa mwezi . na unatakiwa ulipe ndani ya miezi sita. nikikukopesha . kam UKO tAYARI ni PM.
Wewe ni banker mkuu?
 
Kwanini uachane na NMB pamoja na CRDB, yawezekana wewe ni mtu defaulter and you don't qualify kukopeshwa tena,unakotaka kwenda kukopa now utapoteza nyumba
 
Sikulaumu kuwaza hivo.kila mwenye kujua thaman ya nyumbani,jasho alilolitoa mpaka kuijenga hawezi kutaka kuipoteza,Bali atafanya kila awezalo kuilinda.
 
Back
Top Bottom