newbeliever
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 248
- 48
Nina dhamana ya nyumba na duka viko mkoani,ila Mimi naishi Dar es salaam.ninaweza kupata wapi mkopo wa milioni 20? Nahitaji kukopa ili nipanue biashara yangu.sitaki kukopa CRDB au NMB kwa sababu ninayo mikopo huko japo nimebakiza miezi miwili nimalize hayo marejesho.Nataka niachane nao nibaki na mmoja tu. Naomba kufahamu tafadhari