Wapi nitapata mkopo kwa kuweka dhamana ya nyumba?

Wapi nitapata mkopo kwa kuweka dhamana ya nyumba?

Fresh Don

Member
Joined
Aug 15, 2022
Posts
12
Reaction score
8
Halloww, naombeni msaada jamani.

Wapi nitapata mkopo kwa Kuweka dhamana ya Nyumba?. Nimejaribu kwenye Banks wanasema mpaka niwe na biashara au Mfanyakazi wa Serikali, NAHITAJI MKOPO ambao dhamana ni nyumba TU. MKOPO usiwe wa dharura lakini. Niurejeshe taratibu.
 
Mkopo wa Sh ngapi? na Nyumba unayoweka dhamana ipo wapi na ipoje?
 
Halloww, naombeni msaada jamani.

Wapi nitapata mkopo kwa Kuweka dhamana ya Nyumba?. Nimejaribu kwenye Banks wanasema mpaka niwe na biashara au Mfanyakazi wa Serikali, NAHITAJI MKOPO ambao dhamana ni nyumba TU. MKOPO usiwe wa dharura lakini. Niurejeshe taratibu.
Utapata tu mkuu udhamini unao wa uhakika.
 
T
Nyumba Iko Dodoma. Ina vyumba vitatu,Kimoja master. Public Toilet, Jiko ndani Iko ndani ya fensi.
Thamani ya nyumba ni Sh.ngapi? huo mkopo umepanga kuurejesha kwa muda gani na riba yako ipoje?
 
Back
Top Bottom