Wapi nitapata mkopo wa riba nafuu?

Wapi nitapata mkopo wa riba nafuu?

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,557
Reaction score
1,787
Kuna mwalimu anahitaji mkopo wa kama Million 5, benki amepewa riba kubwa saaana, anataka kujua wapi atapata mkopo kwa riba nafuu na pia ajue utaratibu wa kurudisha kila mwezi.

Sawa nalo wazo mkuu, yuko kijijini saana ngoja ni mpe kama zipo huko.
 
Kwan mwanzon alienda bank gani?
Asije akarogwa kwenda kwenye vi saccos kama Bayport, platnum, finca n.k.

Bank zenye mikopo nafuu ni CRDB, NMB, na Posta japo hela yao ya mawazo
 
Atafute MABOTO ENTERPRISE LTD hawa wanapatikana mikoa ming na wilaya pia, halafu wanatoa pensa ndani y nusu sa mpaka saa nzima, pia pesa unapata kama ulivyoomba hakuna makato yyote, liba yao ni nafuuu sana wacheki no 0783327380
 
atafute maboto enterprise ltd hawa wanapatikana mikoa ming na wilaya pia, halafu wanatoa pensa ndani y nusu sa mpaka saa nzima, pia pesa unapata kama ulivyoomba hakuna makato yyote, liba yao ni nafuuu sana wacheki no 0783327380

hata nami naitaji mkopo wa m3 na niko tayari kuweka dhamana ya kadi ya gari nielekezzi hapa dar nitapata wapi mkopo wenye masharti nafuu.
 
#stiba hawa MABOTO wanahusika hasa na watumishi walio chini ya mkurugenz, namanisha mwajili awe mkurugenz bila kuja idala,
 
Kwan mwanzon alienda bank gani?
Asije akarogwa kwenda kwenye vi saccos kama Bayport, platnum, finca n.k.

Bank zenye mikopo nafuu ni CRDB, NMB, na Posta japo hela yao ya mawazo

Alienda crdb mkuu, riba nikama m2 na kitu, sasa huo ni mkopo au matatizo..
 
Atafute MABOTO ENTERPRISE LTD hawa wanapatikana mikoa ming na wilaya pia, halafu wanatoa pensa ndani y nusu sa mpaka saa nzima, pia pesa unapata kama ulivyoomba hakuna makato yyote, liba yao ni nafuuu sana wacheki no 0783327380

Daah, hawa jamaa hawako katika huo mkoa ila riba bado naona kama iko juu kidogo, labda mimi cjui mambo ya mkopo mfano ukikopa m1 unarudisha na lakin 4 kwa 2 yrs.
 
Napenda kuuliza bank gani nzuri inatoa mkopo wenye riba nafuu na Je vipi kwa hii bank ya Posta (Tanzania Postal Bank)?,TPB
Mimi ni mtumishi wa umma.
 
Back
Top Bottom