Wapi nitapata mmea huu '' Mugwort ''

Wapi nitapata mmea huu '' Mugwort ''

Nairart

Member
Joined
May 13, 2019
Posts
22
Reaction score
36
Wakuu habari. Kuna yeyote anajua wapi naweza kupata mugwort. Au duka linalouza mimea asili, sio dawa asili no. Mimea kama karafuu, mugwort, mdalasini, mbegu etc. Naomba msaada
Image_1567144020.jpeg
 
Nipo mlingotini kwa babu, nasafisha nyota... Nimejaribu kumuuliza babu Hilo jina kabaki kanitolea macho.

Babu... Kwani kwa kishambaa unaitwaje?

Mimi ... Sijui

Babu... Kwa kiswahili?

Mimi...sijui

Babu.... Nenda hifadhi za Amani, Kuna wazungu kaulize!

Mimi.... Tawile Babu
 
Translation of mugwort in English wasn't found!!!!!
 
Translation of mugwort in English wasn't found!!!!!

Mjomba google
 
Mjomba google
Huo ni ujumbe wa google! Yawezekana ni kitu kingine, google haitambui hiyo makitu
 
Mdalasini zanzibar huko ndio imejaa funga safari mkuu
 
Nafahamu mkulima anayelima jamii hiyo ya mimea. Niliona aina ya Artemesia Annual.
Anapatikana mkoani Mbeya.
Artemisia%20(2018-11-20%20Mbeya).jpeg
 
Back
Top Bottom